20 February 2013

MSAADA NMB


Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mwenge, Bi. Kidawa Masoud (kushoto)akikabidhi kwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Mapambano, Idda Uwiso, Dar es salaam jana, moja kati ya madawati 50 ya msaada yenye thamani ya sh. milioni 5.  Katikati ni Ofisa Takwimu Bw. Faustine Kikove. (Picha ya NMB)

No comments:

Post a Comment