18 February 2013

MAISHA


Mtoto asiye na makazi maalumu ambaye hujishughulisha na uoshaji wa vioo vya magari (jina halikufahamika) akiwa ameketi kwenye makutano ya Barabara za Umoja wa Mataifa na Morogoro eneo la Faya, kama alivyokutwa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Watoto hao pamoja na kufanya kazi hiyo pia huomba fedha za kujikimu kwa wasamaria. (Picha na Immatukio Blog)

No comments:

Post a Comment