19 February 2013

MAHAKAMANI


Mwanamke mfuasi wa Mwenyekiti wa Taasisi ya Jumuiya za Kiislam Tanzania, Shekhe Ponda Issa Ponda,  akizozana na Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana, baada yakuamliwa kuondoka kwenye eneo la mahakama hiyo. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment