18 February 2013

FENESI


Mfanyabiashara wa fenesi katika Soko la Temeke Stereo Bw.Mbaraka Mbwana akisaidiana na mwenzake aliyekaa Bw.Fidia Mgeni kuchagua fenesi ambayo hazijaharibika, kwaajili ya kuuzia wateja kila fenesi huuzwa kati ya Sh 3,000 hadi 8,000 kama walivyokutwa na mpigapichawetu Dar es Salaam jana.(Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment