18 January 2013

MITUMBA


Dereva wa gari lenye namba T 537 CAQ, akichaguo nguo za mitumba, kama alivyokutwa Manzese Tip Top, Barabnara ya Morogoro, Dar es Salaam jana. Baadhi ya watu wanapenda kununua nguo hizo kutokana na kuuzwa kwa bei nafuu. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment