07 January 2013

MITARO


Mfanyakazi wa Wakala wa Usafi wa Mazingira wakizibua chemba za majitaka katika Barabara ya Uhuru Kariakoo, Dar es Salaam jana, kutokana mitaro kuziba na kusababisha maji kufurika katika barabara hiyo. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment