04 January 2013

MAPATANO


Mchuuzi wa ndizi katika Soko Kuu mkoani Morogoro (kulia), akipatana na wateja kabla ya kuwauzia bidhaa hiyo, ambapo mkungu mmoja huuzwa sh. 13,000 hadi 15,000. (Picha Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment