04 January 2013

MAFURIKO


Mpitanjia (kulia) akiingia katika dimbwi la maji kwa tahadhari, kama alivyokutwa makutano ya Barabara za Uhuru na Msimbazi, Dar es Salaam jana. Maji hayo yanatokana mvua za vuli zinazoendelea kunyesha jijini. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment