04 January 2013

KIPIMO


Mteja akivishwa viatu na muuzaji (kushoto) baada ya kushawishika ikiwa ni hatua ya kwanza kuvijaribu kama vinamtosha kabla ya hatua ya pili ya kununua, kama walivyokutwa Mtaa wa azikiwe, Dar es Salaam jana. (Picha Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment