04 January 2013

BIASHARA


Wakazi wa jiji wakipita kando ya Barabara ya Azikiwe Posta, Dar es Salaam jana. Tatizo la upangaji biashara katika maeneo yasiyo rasmi linahitaji kupatiwa ufumbuzi wa kudumu badala ya kutumia operesheni za askari wanaokamata bidhaa na kuzitaifisha. Kushoto aliyeketi ni muuzaji wa bidhaa hizo. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment