Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bw. Godbless Lema (kulia), akizungumza na wanachama wa chama hicho mara baada ya kushinda rufaa ya kesi yake aliyokata ili arudishiwe nafasi hiyo katika Mahakama ya Rufaa Dar es Salaam jana. (Picha na Peter Twite)
NINA MTAZAMO TOFAUTI SANA KUHUSU HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA IWAPO LEMA ALIKIUKA HAKI ZA BINADAMU KWA KUMDHALILISHA ALIYEKUWA ANASHINDANA NAYE KWENYE UBUNGE NA AKAONEKANA AMEMDHALILISHA KIJINSIA NA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA IKISHUHUDIA KUNYAMAZA KIMYA KWA MAHAKAMA YA RUFAA KUEGEMEA KWENYE SIASA NA KUBARIKI KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA ITAINGI KATIKA HISTORIA SI AJABU KWENYEMAHAKAMA AFRIKA MASHARIKI,AFRIKA NA DUNIA MAJAJI WA TANZANIA WAKAKOSA AJIRA IKUMBUKWE DUNIA NI KAMA KIJIJI KIMOJA JUHUDI ZA UTANDAWAZI NI KUWA NA SERIKALI MOJA DUNIANI,BUNGE MOJA HIVYO UTUNGAJI SHERIA SHURTI ULANDANE NA MAHAKAMA MOJA YA DUNIA ,SIKU YA MAPUMZIKO MOJA DUNIANI HIVYO NAWASIKITIKIA MAJAJI KWA KUFANYA KAZI KISIASA HAPA MUMEFULIA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI NI VEMA ULITAFAKARI UPYA NI AFADHALI UJIUZULU ILI KULINDA HADHI YA TAALUMA YAKO
ReplyDelete