27 December 2012

Rais Kikwete

Rais Jakaya Kikwete (wa kwanza mbele), na viongozi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa  (TANAPA), wakielekea kwenye boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa Mwitu, muda mfupi kabla ya kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao 15, waliokuwa wamehifadhiwa katika boma hilo ambalo limejengwa kwenye eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara jana. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment