Baadhi ya wananchi mjini Geita wakiwa wanauza senene kwa kutumia vyandarua kama walivyokutwa na mwandishi wa makala haya.Vyandarua hivyo vimetolewa na serikali kwa lengo la kuzuia na kuwakinga wananchi dhidi ya ugonjwa wa malaria lakini wao wanatumia kuhifadhia senene ili wasiharibike(Picha na Faida Muyomba)
No comments:
Post a Comment