24 December 2012

KATUNI


1 comment:

  1. WATAENDELEA KUWA MASKINI MILELE MPAKA WATAKAKATAA KUWA SHAMBA LA BIBI LA KUZALISHA MALIGHAFI KWA VIWANDA VYA ULAYA SI AJABU WATANZANIA WALE WALIOKUWEPO WAKATI TUKIPATA UHURU WALIKUWA NA AKILI KWANI WALITUNZA MADINI ILI TUZALISHE RASILIMALIWATU YA KUVUNA RASILIMALIASILIA NA KUZIBADILISHA ZIWE BIDHAA NA HUDUMA WASOMI WALIOZALISHWA NI MAZUZU COPY AND PASTE NDIO WANAOSISTIZA KUENDELEA KUWA SHAMBA LA BIBI LA KUZALISHA MALIGHAFI YA VIWANDA VYA ULAYA NA KULALAMIKA SANA TUNAUZIWA BIDHAA FEKI ZENU ORIGINAL ZIKO WAPI COPY AND PASTE SISI TUMESOMA WEPESI WA KUFIKIRI [UMBEA NA UDAKU] HIVI NI LINI NA NYINYI MUTAUZA BIDHAA KWA MATAIFA YA ULAYA YALALAMIKE MUNAWAUZIA BIDHAA FEKI MUNALALAMIKA SANA TATUTENI UFUMBUZI NI SAWA NA NG'OMBE ANAYETEMBEA NA KUPE NA MINYOO MINGI TUMBONI AKILA SANA ILI ANENEPE LAKINI ANAZIDI KUDHOOFIKA SINA UHAKIKA IWAPO UTANIELEWA POLENI SANA COPY AND PASTE

    ReplyDelete