17 September 2012

VURUGU YA UCHAGUZI

Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), akijaribu kumshikiria mmoja wa wananchi waliodaiwa kusababisha vurugu, wakati wa uchaguzi mdogo wa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu, Visiwani Zanzibar, uliofanyika jana. (Picha na Martin Kabemba)

No comments:

Post a Comment