05 September 2012

VIATU

VIATU
Wateja wkichagua viatu nje ya Jengo la Machinga Complex kama walivyokutwa na mpigapicha wetu, Karume Dar es salaam jana, soko hilo lilikumbwa na misuguano kutokana liba ya mkopo wa ujenzi kutolipwa kwa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililotoa mkopo wa ujenzi. (Picha na Sittu Athuman)

No comments:

Post a Comment