Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, Jenerali Devis Mwamunyange mwenye kofia akijadiliana na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara, kwenye ufungaji wa mashindano ya Gofu ya CDF yaliyofanyika kwenye viwanja vya Gofu Lugalo juzi na kudhaminiwa na Konyagi. Mpigapicha Wetu
No comments:
Post a Comment