Baadhi ya wafanyakazi wa Yono Action Mart, wakivunja Nyumba namba 80 kwa
amri ya Mahakama. Kuvunjwa kwa nyumba hiyo iliyoko Kongo na Mkunguni,
kulizusha vurugu kubwa zilizosababisha Polisi kurusha mabomu ya machozi
kutawanya watu, Dar es Salaam jana. (Picha Charles Lucas na Shufaa
Lyimo)
No comments:
Post a Comment