31 August 2012

MSIBA

Mwili wa aliyekuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda, Mhashamu Pascal William Kikoti, ukiteremshwa na baadhi ya Mapadri jana katika Uwanja wa Ngege, mjini Mpanda, mkoani Katavi, tayari kwa mazishi ambayo yatafanyika kesho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

  1. MUNGU ALIMPENDA ZAIDI... TULIOBAKI TUJIANDAE
    ROHO YA MAREHEMU ASKOFU Pascal William Kikoti ILALE MAHALA PEMA PEPONI
    AMINA

    ROSE-Dar

    ReplyDelete