24 August 2012

HATARI

Abiria na mzigo wa pikipiki wakiwa wambebwa kwenye baiskeli ya miguu mitatu, maarufu kama guta, kitendo ambacho kinahatarisha usalama wa watumiaji barabara hivi karibuni kama walivyokutwa hivi karibuni katika barabara ya zamani ya Bagamoyo maeneo ya Mlalakua. (picha na Anna Titus)

No comments:

Post a Comment