24 August 2012

Ajali


Vijana ambao hawakuweza kupatikana majina yao mara moja wakiondoa mbao zilizoelemea mkokoteni katika barabara ya Sokoine, Dar es Salaam hivi karibu kama walivyokutwa na kamera yetu. (Picha na Sittu Athmani)

No comments:

Post a Comment