Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia), akiwa ameushikilia mkono wa mtoto Mussa Oswald (10), akimtaka ashike sikio lake la upande wa pili, baada ya kulipishwa nauli ya mtu mzima, wakati mtoto huyo akisafiri kwa Basi la Najimunisa namba T491 AUF, lililotoka Dar es Salaam jana kwenda Mwanza. Dkt. Mwakyembe alifanya Operesheni maalum ya kukagua nauli za mabasi ya abiria kwenye Kituo Kikuu cha mabasi Ubungo (Picha na Prona Mumwi)
KWA DR. MWAKYEMBE UPELE UMEPATA MKUNAJI TUNAKUOMBEA TU MUNGU AKUTANGULIE KWANI WEWE UTAKUWA UNATEKELEZA YALE UNAYOONNA NI MAJUKUMU YAKO ILA WAKO WANAFUATILIA NYUMA KAMA FISI WAKISUBIRI UTASHINDIWA WAPI WASHEREHEKEE NI VEMA RAIS ASIFANYE TENA MABADILIKO YA MAWAZIRI ILI KILA WAZIRI ATATHIMINIWE UTENDAJI WAKE
ReplyDelete