10 July 2012

POOL

Bingwa wa mchezo wa Pool mmoja mmoja(singles) mkoa wa Shinyanga, Ndala Ndefu akicheza dhidi ya mpinzani wake Majaliwa Cyipilian (Hayupo pichani) wakati wa mashindano Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa  yaliyofanyika katika Klabu ya Garden mwishoni mwa wiki. (picha na mpiga picha wetu)

No comments:

Post a Comment