01 June 2012

ZAWADI

Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akionesha baadhi ya vifaa vitavyokabidhiwa kwa wajasiriamali waliofuzu katika mashindano ya ruzuku ya 'Wezeshwa na Safari Lager' Dar es Salaam jana. Na Michael Machella

No comments:

Post a Comment