Mkuu wa Wilaya ya Geita, Bw. Manzie Mangochie (mwenye miwani), akizindua mradi wa visima vipya vya maji, vilivyojengwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika Kijiji cha Mkolani I, Wilayani Geita juzi. Katikati ni Mhandisi wa Maji wa wilaya hiyo, Bw. Enock Kangasa. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment