31 May 2012

KAHAWA


Rais Jakaya Kikwete na mgeni wake, Rais Allasane Ouattara  wa Ivory Coast wakiangalia shamba la kahawa mkoani Arusha jana. Ouattara yupo nchini kuhudhuria mkutano wa Magavana wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), unaoendelea Ngurdoto. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment