Waziri wa Katiba na Sheria , Bi. Celina Kombani (katikati) akikata utepe kuzindua Maonesho ya Miaka 50 ya Ikulu, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Mkuu wa Sehemu ya Mipango Ikulu Bi. Ened Munthali. |
Mama Maria, Mama wa Taifa.
ReplyDelete