25 November 2011

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni  Future Centery Helene Masanja, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu mechi ya kombaini ya Simba na Yanga, itakayocheza dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana, katikati ni Mwenyekiti wa Yanga Loyd Nchunga na Mwenyekiti wa DRFA Amin Bakharesa.

No comments:

Post a Comment