*Wabunge walia na Lissu, wahoji usomi wake
*Waionya serikali kutochukua hatua mapema
*Mnyika: Kikao cha Kamati Kuu kukutana kesho
Na Godfrey Ismaely, Dodoma
SIKU moja baada ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na NCCR-Mageuzi, kususia mjadala wa
Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, uamuzi huo unadaiwa kutokuwa na tija kwa Watanzania badala yake unalenga kuwapotosha.
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliyasema hayo Bungeni mjini Dodoma jana wakati wakichangia mjadala huo na kudai kuwa, Mbunge wa Singida Mashariki, Bw. Tindu Lissu (CHADEMA), anatumia vibaya usomi wake kupotosha Watanzania.
Walisema maoni yaliyowasilishwa bungeni na Bw. Lissu ambaye ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Sheria na Katiba, yalilenga kupotosha Watanzania na kulichafua jina la Muasisi wa Muungano, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
Mbunge wa Simanjiro, mkoani Manyara, Bw. Christopher Ole Sendeka (CCM ), alisema Bw. Lissu ameshindwa kutumia vyema usomi wake kuelimisha Watanzania badala yake anajenga hoja za kuwagawa jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa taifa.
“Kwa mara ya kwanza namsikia msomi anayejiita mwanasheria kupitia hotuba yake akimkashifu Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere na kudai alimomonyoa uhuru hii haiwezekani, naomba arudi tena darasani kwani usomi wake bado haujamsaidia, inakuweje anamtuhumu Baba wa Taifa na kuwapotosha Watanzania,” alisema.
Bw. Sendeka alisema elimu aliyonayo Bw. Lissu, haijamsaidia hivyo anapaswa kupatiwa mafunzo ya ziada ili yaweze kumkomboa kifikra.
“Katika hili tupo tayari kumpatia mafunzo ya ziada, tutamfundisha bure bila gharama yoyote, Watanzania mnapaswa kutambua kuwa, kinachojadiliwa hapa si uidhinishwaji wa Katiba Mpya kama wanavyopotoshwa bali ni mchakato wa kupata maoni ya kuunda tume huru ambayo itakusanya maoni ya wananchi kuunda Katiba Mpya,” alisema Bw. Sendeka.
Mbunge wa Wawi, Bw. Hamad Mohamed Rashid (CUF), alisema inasikitisha mbunge anapokula kiapo cha kuitumikia na kuiheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini anatumia nafasi hiyo kupotosha umma hali ambayo inaweza kuleta vurugu.
“Ukisoma katika muswada huu, kuanzia kipengele cha kwanza hadi hitimisho, hakuna sehemu inayoeleza kwamba nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidikteta wala ufalme, jana (juzi), Bw. Lissu wakati akiwasilisha hotuba yake, alipotosha Watanzania...hii ni hatari.
“Ukisoma ukurasa wa 20 wa hotuba ya Bw. Lissu, sisi wabunge tunaambiwa hatuna mawazo...hii ni aibu kubwa, dharau hizi hatuzitaki mimi Rashid nimekaa katika bunge hili muda mrefu, haijawahi kutokea hali kama hii,” alisema Bw. Rashid.
Aliongeza kuwa, kinachofanyika kwa sasa si kupitisha katiba mpya, bali ni mchakato wa kuunda tume ya kukusanya maoni ya wananchi kwa ajili ya kuandika katiba.
Alisema haiwezekani Tanzania igawanyike vipande kwa sababu ya ya watu fulani bali katika hatua ya kupiga kura, tume zote za uchaguzi zishiriki kuandaa vitengo vyao ili kila mwananchi aweze kushiriki kupiga kura.
Wakati huo huo, Katibu Mkuu wa Wabunge wa CHADEMA, Bw. John Mnyika, amesema baada ya kutafakari, wabunge wa chama hicho kwa pamoja wamefikia uamuzi wa kuitisha Kikao cha Kamati Kuu cha dharura ambacho kitafanyika kesho na kutoa mwelekeo wao juu ya muswada huo.
“Msingi wa kikao hiki ni kutoa mwelekeo jinsi muswada huu ulivyokaa vibaya kwa wananchi kwani haujawatendea haki ya kuwasilisha maoni yao kama wanavyotaka,” alisema.
Alisema chama hicho kinatambua kuwa, muswada huo ulipowasilishwa bungeni ulitoka kwa mara ya kwanza si kwa mara ya pili kama ulivyowasilishwa na Waziri mwenye dhamana.
Katika hatua nyingine, wabunge hao walienda mbali zaidi na kuionya Serikali kuchukua hatua mapema dhidi ya vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa amani na uhamasishaji wananchi kushiriki vurugu kinyume na sheria za nchi kwani machafuko yaliyotokea nchi za Rwanda na Burundi yalianza kwa kauli kama zinavyotolewa na viongozi wa CHADEMA.
“Mimi naona hawa wana lao, tena nia yao ni mbaya, nchi ya Rwanda na Burundi, walianza hivi hivi, hapa lazima Serikali ichukue hatua,” alisema Mbunge wa Kibakwe, Bw. George Simbachawene.
CCM AND CCM B ARE AT IT AGAIN. YOU ARE MERE PRETENDORS. WE WANT A NEW AKIBA. WE NEVER ELECTED YOU TO TALK FOR US ON KATIBA NEITHER THE PRESIDENT HAS THAT MANDATE. YOU ARE STEALING OUR RIGHTS AT DAY LIGHT. STOP IMMEDIATELY.
ReplyDeleteSimbachawene, wewe ni kijana, msomi na tena mwanasheria....
ReplyDeletebado una safari ndefu katika maisha ya siasa.. i presume.
achana na siasa za kina khadija kopa.... siasa za mipasho, lenga kuwa mwanasiasa with objectivity..... kwa nini usiifananishe hali ya sasa ya siasa kuwa kama ya kenya ambapo sasa wana katiba bora badala yake unatupeleka rwanda na burundi? eeeehhh?
halafu wewe tuna wasi nawe, hupaswi kupewa madaraka maKuBwa kwasababu your reasoning have always been LUNATIC na unapenda sana ku EXCERCISE POWER UNNECESARIRLY....bahati nzuri hata Mungu kashakugundua, utawaona kina Jenista waleeeeee wanapeta wewe unakunja kunja misuli tu
TAKE CARE, UTANIKUMBUKA SIKU MOJA!
Sendeka is ignorant and all people know this except him and his CCM cohorts. People's Power will eventually carry the day and on that day he will regret.
ReplyDeleteCCm na CCM - B wana panic na kutumia nguvu kuuuubwa kuipinga CHADEMA badala ya kujenga Hoja za msingi... wananchi sasaivi sio wajinga jamani tunajua kuchambua upi mchele, zipi pumba yani jinsi mnavyozidi kutumia nguvu nyingi watu ndio wanawaona wajinga mlioishiwa sera....!! badala ya kutafuta kwanini CHADEMA wanasikilizwa na watu mnabaki kuiponda tuu!! haina msaada, kweli aliesema CCM INAICHEZA NGOMA YA CHADEMA hakukosea kabisa
ReplyDeleteWanchi gani hao wakajadili muswada ? Wengi hatujui maana ya muswaada? Hapa bwana watu wanawaza Kwenda magogoni tu. Nakumbuka pale unga limited mmoja wao alituambia kama angetaka kuapiswa kwenda magogoni angeapishwa kulikuwa na watu wa kumuapisha. Na baada ya hapa akamalizia kwa kusema kuanzia siku ile NCHI HAITATAWALIKA sasa huu ndio utekelezaji sijui maana mara wanakesha viwanjani wakila viroba haya bwana sisi yetu macho huku tukiomba ee bwana tuepushe na ikombe hii
ReplyDeleteCCM na CUF endeleeni kuwadharau watanzania tu. Ni lini mlileta mswada kwetu hata angalao makao makuu ya wilaya tu ili nione wananchi wa kona zote za nchi wamashiriki kutoa maoni juu ya mswada wa kutengeneza katiba mpya. Tumedharauliwa sana, tumepokonywa haki yetu na sasa wale wanaotuonyesha mwanga mmewaita wahuni. Hata gadafi aliwaita wananchi wake Panya, lakini panya wakamtafuna.Wabunge wa CCM dawa yenu ipo jikoni. Mnafikiri siasa zitaisha. Wtananzania wenye vyama hawazidi milioni 8, sasa sijui ambao hawana chama ni wangapi na wakianza kuchukia sijui vyama vyenu vitakuwa wapi.
ReplyDeleteIS KHADIJA KOPA NOT A HUMAN BEING? YOU ARE MENTALLY A SLAVE OF CCM. USE YOUR HEAD. SHE IS MAKING HER LIVING FROM HER WORK. STOP UNDER RATING OTHERS. IS THAT YOUR MASTERS (CCM) TOLD YOU. AFTER ALL ARE YOU NOT EPA?
ReplyDeleteHey CCM where is fairness! How can Zanzibaris participate in discussing Union matters that only concern Tanganyika, while they made their own Constitution behind closed doors. Not a single Tanganyikan was consulted, even the Union President! Huree Lissu for opening our ears. We are want an avenue for discussing our own matters without involving Islanders (Zenj). Let that be a point in the new constitution in the making.
ReplyDeleteTHIS IS NOT CCM COUNTRY IT IS TANGANYIKA. WE WANT OUR FLAG BACK. WE TANGANYIKAN HAVE ONLY ONE NATIONALITY THE ZANZIBARIS HAVE TWO NATIONALITY IS THAT FAIR? IF IT IS A MATTER OF UNION THERE ARE ONLY TWO ALTENATIVES, BOTH SURRENDER OUR FORMER NATIONALITY AND BECOME TANZANIANS OR HAVE 3 GOVTS. WE TIRED THE ZANZIBARS ALWAYS COMPLAINT THAT WE ARE STEALING THEIR RESOURCESWHICH IS NOT TRUE. THE THIEVES ARE CCM NOT TANGANYIKANS. OUR CHILDREN ARE SITTING DOWN AT CLASS WHILE YOURS ARE ENJOYING YET YOU CALL US THIEVES. ENOUGH IS ENOUGH. WE WANT ANY CHANGE BAD OR GOOD
ReplyDeleteCCM MPs you should remember that there are many, well educated and intelligent people in Tanzania who are not MPs. It is so simple look you have been in power for 50 years, if you evaluate the current state of the country what do you learn. Why do waste your time joking Tanzania.
ReplyDeleteTatizo liko kwa CCM ni watu waliojisahau lakini mungu atawalipa kadiri ya matendo yao.Mh.Wasira,Mh.Olesendeka,Mh.Simbachaweni.Ninaomba msijisahau iko siku CCM itapigwa chini mtachanganyikiwa sana.
ReplyDeleteccm walizoea mteremko wa mawazo,walizoea kura za mafungu mjengoni.sasa mwisho.acha wananchi wajadili,mawazo ya watu yaheshimiwe.lisu kaandika kila kitu kifasaha,mbona ya komban hajaisasambua?ya lisu tu,wasubiri maandamo ya nchi nzima ndo wataelewa mbivu na mbichi,tena yanakuja mko dodoma,sijui mtaandamana au?yanangojewa kwa hamu.tumezidi kunyanyaswa na ccm,mawazo ya kisomi yanatoka,wanadai hana elimu,hao wenye elimu ssm wamefanya nini zaid ya ufisadi.ukweli unauma.
ReplyDeleteTatizo la mswada sio Chadema, Watanganyika tunataka nchi yetu kama Wazanzibar walivyo. Hata kama Wazanzibar wataitenga Chadema sisi Watanganyika bado tupo. Wazanzibar tunawajua, vyakwenu mnataka viwe vya kwenu tu na vya kwetu viwe vyenu pia. Haiwezekani. Chagueni moja vya kwenu na vya kwetu viwe vyetu sote na sio vinginevyo. Watanganyika hatuwezi kuendelea kuona nyie mnakula vya kwetu vya kwenu mnakula wenyewe. Mbaya sana mnatuita sisi tunawaibia vyenu haiwezekani.
ReplyDeletehukumu inakuja 2015
ReplyDeleteI don't think if some of the people do think beyond their nose. Or do they see beyond the frame? I am still amazed of what is going on in Tanzania. Clashing every day. May be still they don't focus the target. Majority of leaders are still in shadow, reflecting merely what might happen in the world of light.
ReplyDeleteNormally only few are released from shadow world, said Plato the philosopher. How many may be in the spirited world? I mean on trans to the World of Idea (light).
Let me turn to kiswahili in order to be read by all.
Tanzania hii imegubikwa na wajinga wengi sana. Na wengi wao ni viongozi wetu (wabunge). Wanaishia kuropoka tu na kushabikia. Walichokifanya CHADEMA na baadhi ya NCCR, ni akili ya hali ya juu. Kwani tungejua lini kwamba tunadanganywa? Na haya ndiyo matunda ya upinzani bungeni.
Nawaona wapinzani kama wasomi wa hali ya juu. Watanzania tutamkumbuka Dr Wilbrod Slaa mara elfu elfu kwa yale aliyotueleza wakati wa kampeni za uraisi. Alisema, hakuna sababu ya kula mlo mmoja kwa siku, bidhaa kupaa bei na angali rasilimali tunazo. Sasa tunaelekea wapi?
Ni vyema tukajionea haya kwa miaka hii michache iliyobaki na 2015 tutoe majibu yaliyo sahihi.
Wabunge wamejaa jazba tu bungeni, wanatukanana na kusemana vibaya. Siwalaumu CCM kumponda LISU. Ni fikra zao fupi zinawatuma.
Seraphine Komu
wengi mliotoa mawazo hapo juu mna akili mgando kama za tundu lisu! Kwanza hamjui kinachoendelea bungeni. Sendeka amefafanua lakini nyie hamtaki kunsikiliza. chadema ni wanafiki. hamkumbuki walikuja na ajenda ya kukataa posho? isipokua shibuda?
ReplyDeleteSasa ni wabunge wa chadema hao hao wamekuja na hoja ya kuongezewa posho. Au sivo?
Wewe Komu unatumia jina la bandia. wewe ni lisu. yaani unamwamini Slaa kwa kutoa ahadi kubwa? ucha uzamani huo> je mimi nikiahidi kua kila mtanzania tamjengea nyumba ya bati nikipata urais utaniamini?
ReplyDeleteKomaa John
Threatening and manipulative language cannot lead to making a constructive choinces. The government officials need to be more cautious.
ReplyDeleteHivi ninyi mnao jifanya waingereza katikati ya wantanzania ni akina nani? mbona siwaelewi kama ni watanzania! maoni ya kuanzisha Tanganyika nayaafiki sana maana unguja ina sehemu yake na sisi tuwe na sehemu yetu ndipo tuwe na muungano maana hakuna vita baridi sasa lakini ndugu zangu wa CHADEMA mbona mna jaziba sana hata maneno yenu hayapendezi kuyasoma kuweni wastarabu zungumzeni kwa pozi sio kwa kuwatukana viongozi wetu
ReplyDeleteSina ugomvi na CCM wala CHADEMA kwa kuwa mgongano wa fikra ni lazima katika jamii yoyote hai.
ReplyDeleteKwangu muhimu zaidi ni jinsi tunavyodumisha amani na usalama wa Nchi yetu maana tusipoangalia Nchi itasambaratika na tutakosa kwa kukimbilia kwa kuwa majirani zetu nao wanategemea kukimbilia kwetu> Tutakwenda wapi ndugu zangu?
katiba ni muhimu kwa kila mtu , kama itikadi haitatumika basi tungepata katiba iliyonzuri. bora kuwa na mwaafaka kati ya CCM na wapinzani .
ReplyDeleteBaada ya kumjadili Mhe. Tundu Lissu, wabunge wanasubiri kujibu "Ndiyooo" bila kuujadili muswada wenyewe! Sasa je. Rais wa Jamhuri atapelekewa muswada ambao haojajaliwa sawasawa bungeni? Nimeshangaa hata wabunge wazoevu na mawaziri kufanya vivyohivyo! Tuko wapi sasa? Kwa maoni yangu ni vema tuwaachie Wanaharakati na pia Jukwaa la Katiba. Maamuzi yao kwa kuwa yanawakilisha watanzania walio wengi ni ya muhimu zaidi. Wawakilishi "Wabunge" hilo kwao limekuwa gumu. Kwa namna nyingine kususia mjadala kwa Wabunge wa CHADEMA na NCCR Mageuzi ni sawa kabisa kwani wangelaumiwa tu kwa kuwa "Hapanaa" yao haingesikilizwa.
ReplyDeletewengi wenu manao toa maoni ya kuwapinga wapinzani wa ccm ndio nyiyenyiye mnao lelewa na kuendesha maisha yenu ya kifahari kwa kutumia aidha pesa walizojichukulia wazazi wenu au pesa mnazojigawia za walipa kodi masikini watanzania, leo kuna amani gani au uhuru gani kwa mtu anaekula mlo mmoja dhaifu kwa siku? hao kina lisu ni mambumbu wa kutokujua maisha ya anasa ndio maana wanaitwa wajinga, hata anna kilango alionekana adui mkubwa alivyokuwa ana pambana na ufisadi, nyerere sio mungu nae anamakosa yake, sendeka naomba utambue hatutaki wasomi kama kina chenge tuna taka wasomi wajinga kama kina lisu, hakuna mwenye uwezo wa kuzuia nguvu ya umma dhidi ya unyonyaji
ReplyDeletejamani muogopeni mungu au kuweni na japo huruma kwa binadamu wenzenu, ni maajabu! na inachekesha, leo hii nimemuona chenge kwenye kamati ya katiba, eeh mungu tuokoe watanzania, mzee wa vijisenti, sendeka upo hapo? je huo ndio usomi sio? na hizo bastola zenu hazita wasaidia, rage upo? kampeni na kitu kiunoni hiyo ndio amani?
ReplyDeleteNYIE MBWA WA SLAA NANI KAWATUMA KUWASEMEA WATANZANIA?
ReplyDeleteAliyetutuma ni CCm
ReplyDeletehakuna lolote ccm na chadema kikubwa mnagombani magogoni kupitia sisi wanachi ccm hawataki kuachia utamu yaani hayo mapesa wanayotuibia na chadema nao wanaona gere hakuna kiongozi chadema wanafiki tu na ccm wezi tu. angalizo wananchi wanasiasa wasitake kupanda juu kutumia migoongo yetu ona Arusha wananchi wanakufa sijaona hatakiongozi moja wa chadema aliyekufa zaidi ya kupata umaarufu
ReplyDeleteSikia mbunge fulani anaitwa Rashidi anamkandya Lisu eti amekaa bungeni miaka mingi hajaona hali hiyo,sasa kukaa kwako miaka yote umeifanyia nini tanzania,si ndo wale wa acha liende unamawazo gani uliyowahi kuyatoa hapo bungeni watanzania wakakuelewa kama si upuuzi tu,ccm mlizoea kukaa tu na kula pesa eti ina siku nyingi hizo siku nyingi ulifanya nini,mpuuzi mkubwa,mbwa kachoka.Unajipendekeza nawe uonekane unaongea.eti una miaka mingi ulifanya nini hapo bungeni.mlizoea kumeza sasa challenge za wasomi zinawachanganya,mlijifanya ninyi ndo wasomi.ninyi ndo rudini darasani.Utamrudisha msomi Lisu asome bure kwa pesa za uifisadi au mshahara wako.
ReplyDeleteHao wote wanaotetea ccm wanajua wanapata nini katika chama ni wapumbavu tu
ReplyDeleteacha watanzania wajadili mswada bwana nyie wabunge wa ccm, hivi kweli mmesoma nyie? achen ufinnyu wa mawazo watanzania sasa wamesoma na wametambua haki zao ebo
ReplyDeleteNasikia Ridhiwani ana mapesa kibao pamoja na umri mdogo alionao, malori lukuki,na tena ameagiza mabasi ya kichina kibao.Kwa mawazo yako baba yake atakubali kutengeneza katiba itakayo mkolimba baadae? Kwa gharama yoyote kamwe ataipindisha katiba, japo ipo siku kama ya Gadafi.
ReplyDeletejaman 2015 wa tz mcpige kura alafu2one itakuwaje kwamaana mm c oni mantiki yakupigakura wakati 2nao wachagua hawana msaada wowote kwa tz zaidi nakuwapa kula2 ebu hangalia kuhusu katiba 2napelekwapelekwa2. jaman2mechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDelete