Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Majini wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kanali Malegesi Masanga (kulia) akizungumzia jinsi walivyowakamata maharamia saba waliotaka kuiteka meli ya utafiti wa mafuta ya Sams Allgood maeneo ya Kisiwa cha Mafia walipokutana na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana. Wengine ni Mkurugenzi wa Operesheni wa JWTZ, Brigedia Jenerali Mwanamakala Killo (katikati) na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa jeshi hilo, Kanali Kapambala Mgawe. |
No comments:
Post a Comment