*Wosia wake watangazwa
*Azuia mkewe kuolewa tena
ISLAMABAD, Pakistan
IMERIPOTIWA kuwa Bw. Osama Bin Laden alitoa wosia wake wa mwisho mwaka 2001 akimuagiza mkewe kutoolewa tena baada ya kifo chake
huku akiwaasa wanawe kutojiunga na mtandao wa al-Qaida.
Gazeti la Al-Anbaa la nchini Kuwait liliripoti Jumanne wiki hii kuwa wosia huo binafsi wa siri uliandikwa Desemba 14, 2001 ikiwa ni takribani miezi mitatu tangu shambulizi la Septemba 11, 2001 wakati wanajeshi wa Marekani wakimwinda nchini Afghanistan.
Kwa mujibu wa gazeti hilo, wosia huo wenye kurasa nne na ambao umechapishwa kwa kompyuta na ukiwa na saini ya Bw. Abu Abdullah Osama Muhammad Bin Laden, unaeleza kwamba angekufa kwa uhaini wa watu waliomzunguka.
Hata hivyo gazeti hilo la Al-Anbaa halikueleza ni lini na vipi lilifanikiwa kunasa waraka huo ama kama litauchapisha neno kwa neno.
Kama OSAMA mwenyewe aliona kikundi cha Al Qaeda si kizuri na ni chenye nia mbaya, inashangaza kuona hapa Tanzania kuna wafuasi/washabiki wa mtu huyu tena wengine wakishawishiwa kwa imani ya dini. Ni wakati umefika sasa kutokuwa washabiki wa mambo, bali tuwe wachambuzi na kufata ukweli. Pia tutafasiri vitabu vyetu vya dini kama vinavyotufu ndisha, tuagiza na kutuonya. Tusifate matakwa ya mtu ama kikundi cha watu eti sababu wameegemea dini tunazoziabudu.
ReplyDeleteUWEZI KUWABADILISHA WATU
ReplyDeleteIMANI NI KITU CHA AJABU SANA,NI MUHIMU KWA JAMII YA WATANZANIA KUWA WAJASIRI WA KUELEWA UMEISHA AMBIWA KUWA SISI WABONGO ASILIMIA 80% NI WATU TUSIO JUA MABAYA NA MAZURI.
UKIWAPIKIA PILAU LEO WATU NA KUWAPA POSHO YA ELFU MBILI WATU WATAKUONA WEWE NI MFALME.
BAADA YA 2020 KIDOGO ASILIMIA YA WASIO JUA MAZURI NA MABAYA WATAPUNGUA.
Ni kweli Ndugu Mlio Toa Maoni hapo Juu, Si ni watu wakujipendekeza na wa hali ya chini, hata siku moja Mwarabu au hao maigaidi hawasononeki na hali zetu Ngumu, Ila sie tunajitahidi hata kuongea kama wao.Tuanjidharau wenyewe na kuwathamini wao.Ndio maana ni rahisi kutawalika, tumekuwa kama majuha, tukiona mtu mweupe tu twajipendekezaaaa, na mwingine hata akiongea kiingereza hata ikiwa ni jambo la kipuuzi utaona wabongo wanaliona la maana..yes yes..yes..that very nice..yes yes ..
ReplyDeleteTuache upuuzi Wabongo, Tunajifanya wajuaji hata hatujui undani wa mambo kisa Dini.Nani kakukataza usiabudu dini yako wewe.Tuache ujinga.
wabongo tunatakiwa tuwe na misimamo yetu na sisi na sio kujipendekeza.
Dini iwe ni yako na maisha yako, usipende kuwaaingiza wengine kwenye udini naushabiki wa magaidi.Dini yenyewe haisemi hivyo.#@$%^ Type
Hii kali, yaani wivu hadi kaburini! sasa ndio nini kumzuia mwenzie asile uroda? basi na amchukue huko kaburini ampe haki yake ya unyumba! Hata bikira maria naye aliolewa! Ama huo si wivu, ni selfishness! Mkewe akipewa umri mrefu Je? na tena anakula na kushiba! si atamuua kwa joto!!! hahahaha! acha wivu marehemu!
ReplyDeleteSina hakika Franco. Kuendana na jinsi viwango vya elimu chini ya serikali ya CCM vinavyozidi kuporomoka kwa kasi ifikapo 2020 wabongo watakuwa mambumbumbu wa mwisho duniani. Wataacha hata kuamini dini zao wawaabudu mafisadi ambao wakati huo wao na watoto wao ndio watakuwa miungu yao. Tofauti ya wakati huo ni kwamba Mungu wa sasa anapenda watu wake. Mafisadi waliojifanya miungu na chama chao ambacho ndio kitakuwa dini ya kulazimishiwa watatakuwa wanawapuuza na kuwachukia waumini wao. Hilo laja.
ReplyDeleteAlipaswa apewe heshima ya binadamu wengine, angefikishwa mahakamani haki ikatendeka
ReplyDeleteKwa yeye Osama mwenyewe aliwapa marehemu aliowauwa heshima ya binadamu? "Jicho kwa Jicho" It's called "Taste of your medicine" or "What goes around comes around". Na wale waliokuwa hawaamini kama kafa soma www.bbc.co.uk. Al-Qaida wenyewe wamehakikisha Osama bin Laden hatunae tena!!! Call Breaking News if you want!!
ReplyDeleteHatufurahii kifo cha mtu yeyote lakini mwisho wa Mtu unonyesha alikuwa ni mtu wa namna gani. KULISHWA SAMAKI KWA OSAMA KUNAONYESHA KUWA ALIKUWA AMELAANIWA.
ReplyDeleteKwenye Biblia Malikia Katili Yezebeli aliliwa na Mbwa maiti yake. Mungu mwenyewe alisema ataliwa na Mbwa. Malikia huyu alitupwa kutokea ghorofani hadichini.
Yuda alijinyonga na akaanguka kichwa mbele na matumbo yakapasuka pasuka
Mambo ya sasa duniani ni ya ajabu na ndio yanazidi kudhihirisha ni nyakati za mwisho.Mtu mzima na akili zake kabisa anamtetea Osama! We umeshaona kipigo anachopata mtu aliekwapua pochi tena mara nyingine hata uhakika hakuna.Ulishaona dreva aliegonga mtu tena aliyejipeleka mwenyewe barabarani wananchi wenye hasira kali wanavyomuadhibu? Leo kabisa mtu anamtetea Osama!Shetani kafanikiwa sana kizazi hiki.
ReplyDeleteno body knows osama bin laden here!!!!
ReplyDeleteOsama! Osama!Bush amefanya mangapi maovu.Iraq,Afghanistan,palestine na kwingineko,lakini watu wamezibwa macho na masikio.Au kwa sababu waliokua wanauawa ni waarabu[waislamu]? Kwa hilo linaonekana jema. Lakini wakiuawa wazungu[wakristo] vyombo vyote vya habari vitapiga kelele
ReplyDeleteThink twice! Sio unasema tu,"GAIDI,GAIDI".GAID UNAMJUA WEWE?
Mussa wallah u hayawani wewe mtumwa wa waarabu. Ufinyu wako wa elimu ndio unasababisha suala la Osama ulione kama la waislamu na wakristo! Kumbuka hata sisi waislamu safi hatumpendi Osama kwasababu dini yetu inasisitiza upendo. Jiite Mussa vizuri lakini jiulize wewe ni muislamu wa aina gani...
ReplyDeleteNdugu yangu Mussa Said, Kwa taarifa yako Osama amesababisha vifo vya Waislam wengi pia. Nasikitika kuona na wewe unamuunga mkono. Pia hatutetei muuaji yeyote hapa, na habari iliyokuwa inachangiwa ni ya Osama. Ninahakika hata wewe humjui, ila maovu yake tunayajua na yametuachia athari nyingi hata hapa kwetu nchini.
ReplyDeleteChimbuko la Osama ni nani? sio wamarekani wenyewe? pili vita hii haiishi hadi haki ipatikane,mnaona huko arabuni mfumuko huo ndio aliokuwa anaupigania Osama. Nyie makafiri mmesababisha vifo vya watu wangapi? japan,vietnam,kambodia,iraq,afghanistan,pakistan,libya,congo.south africa,msumbiji mauaji ya ruanda wakatoliki walivyoshiriki na kwingineko kwingi mmeacha vilema vingine hadi leo watoto wakizaliwa ni vilema,kuna kafiri mwingine pale uganda naye anamaliza watu kwa jina la yesu anataka uganda iendeshwe na amri kumi za mungu.kila jambo lina sababu,msisakame waislam kwa sababu ya osama wakati wenyewe mna maovu mengi tu
ReplyDeleteSafi sana,hakika uliyoyasema yana mantiki kwa mwenye kufikiria! Hawa wakristo wanaangalia upande mmoja wa shilingi.Lakini itajulikana tu ipi CHACHU na ipi CHUNGU
ReplyDeleteangalieni shughuli zingine sasa basi kujadili ya Osama MUNGU ndiye hakimu wa haki zote na mabaya yote
ReplyDeleteInawezekena ni mbinu za Ndugu yangu Obama kufanya kampeni za uchaguzi ili aonekane Kidume mbele ya wamarekani kwa kumuua OBL.
ReplyDeletejambo la wazi ni kuwa hatujasikia WAKRISTO wakiandamana kupinga kustakiwa kwa wakatoliki wa huko Rwanda. Hivyo ni wazi hawamfagilii muuaji yeyote. Lakini hapa Waislamu waliandamana kuhusu libya, lakini hawajawahi kuandamana kuhusu Kongo ,mauaji ya LRA Uganda n.k Kinachowagusa ni waarabu tu.
ReplyDeleteAlaa kumbe wakristo mnajua kanisa la katoliki lilishiriki mauaji ya ruanda? sio ruanda tu hata hapo kenya wakati wa uchaguzi mkuu kiasi hata pengo kulalamikia mahakama ya kimataifa kuwashughulikia wahusika.
ReplyDelete