*Aonya muswada wa katiba utachochea hasira zaidi
*Ataka taifa lipate muda wa kufaa na chombo huru
*Muswada wawasilishwa bungeni, wazua malumbano
Na Waandishi Wetu
WAKATI Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria ikipewa jukumu la kujadili na kukusanya maoni ya wadau kuhusu muswada wa
Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Tume ya Haki na Amani inayoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo la Tabora, Mhashamu Paulo Ruzoka, imemlima barua Waziri wa Katiba na Sheria Bi. Celina Kombani.
Katika Barua hiyo Askofu Ruzoka ambaye pia ni mwenyekiti wa tume hiyo, alionya kuwa muswada huo utachochea hasira za wananchi.
Barua hiyo ilikuwa na kichwa kichwa cha habari
"Hofu na mashaka ya wananchi kuhusu muswada wa mapendekezo ya kutungwa kwa sheria ya madiliko ya Katiba ya nchi ya mwaka 2011".
Katika barua hiyo Askofu Ruzoka alisema suala hilo linaweza kuchochea hasira ya jamii kwa kutofuata njia inayostahili kwa kuwa mamlaka yote ya kuratibu kazi hiyo yanatoka na kuishia kwa rais.
"Mheshimiwa Waziri...Baada ya kuusoma muswada huu tulishangazwa kuona mchakato wote unaanzia na kuishia kwa Rais na kwamba Chombo Kikuu cha kuratibu mchakato wote ni Tume itakayoteuliwa na Rais ambaye ni Mwenyekiti wa Chama tawala," ilisema sehemu ya baurua hiyo na kuongeza:
"Tunatambua kwamba kilio cha kutaka Katiba mpya kilitokana na utashi mwema na pia hasira njema ya jamii ya Watanzania wakitaka mabadiliko yaliyo na hekima na utu.
Alisema wao kama wapenda amani na utulivu wa nchi wanahofia kwamba maudhui na mwelekeo wa muswada huo ambao uliwasilishwa bungeni na kusomwa mara ya kwanza jana kwa hati ya dharura, havitakidhi mahitaji mazito ya Watanzania.
"Huenda ukachochea hasira ambayo imekwisha jidhihirisha katika jamii yetu.
Tunakuomba ulisimamie zoezi la marekebisho ya katiba kwa hekima sana ukiongoza tafakari jadidi na elimu angavu itakayowezesha zoezi lote kuwa la mazungumzo ya kitaifa kweli kweli huku amani, maelewano na makubaliano vikilindwa katika wakati huu mgumu," alionya Askofu Ruzoka katika barua hiyo.
Aliomba Waziri Kombani kulipatia taifa muda wa kutosha na chombo huru kinachoaminika kuongoza wananchi kufikia makubaliano yatakayojenga msingi imara na kukidhi matarajio.
Akizungumza na Majira kwa njia ya simu akiwa mjini Dodoma, Waziri Kombani alisema hadi muda huo wa jana jioni alikuwa hajapata barua hiyo.
Hata hivyo, aliomba mwandishi wetu kumsomea yaliyomo kwenye barua hiyo na alipoulizwa maoni yake alisema hawezi kuzungumza lolote hadi hapo atakapolipata mezani kwake.
Malumbano bungeni
Wakati huo huo, mjadala huo mzito uliibuka bungeni jana kutokana na tangazo la Spika wa Bunge, Bi. Anne Makinda, kuwa muswada huo uliowasilishwa kwa hati ya dharura utajadiliwa na wadau katika vituo viwili vya Dodoma na Dar es Salaam pekee.
Kutokana na kuwasilishwa bungeni kwa hati ya dharura, Bi. Makinda alisema utaratubu wake utatofautina na ile inayopitia utaratibu wa kawaida.
Alisema kutokana na suala hilo kupendwa na wananchi wengi mijadala itakuwa katika ukumbi wa bunge wa Msekwa mjini Dodoma ambapo Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria itakuwepo huku kituo kingine kikiwa katika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Mkanyageni (CUF), Bw. Mohamed Habib Mnyaa, alikuwa wa kwanza kuhoji kutowekwa kwa kituo cha majadiliano ya muswada huo Tanzania visiwani wakati suala la katiba likiwa ni la Muungano.
“Kwa nini Zanzibar napo pasiwepo na kituo cha wadau kukutana na kuujadili muswada huo kama ambavyo mmeona kuna umuhimu wa kuweka vituo Dodoma na Dar es Salaam ili mpate mawazo ya wengi, hamuoni kama hili suala ni la nchi nzima,” alihoji Bw. Mnyaa, ambaye aliungwa mkono na Mbunge wa Mji Mkongwe, Bw. Mohamed Ibrahim Sanya.
Akijibu hoja hiyo, Bi. Makinda alisema vituo hivyo vilipangwa kwa kuzingatia mahitaji na kuwaomba kila mmoja atoe maoni yake kwa uwazi ili suala hilo liweze kufikiwa kwa ufanisi mkubwa.
“Kikubwa katika hili jambo watu tuaminiane, tujadili kwa uwazi ili baadaye bunge liamue na kwenye huu muswada watu wasiupotoshe, hii ni hatua ambayo inaangalia ni namna gani tunaingia kwenye hatua ya katiba,” alisema Spika Makinda.
Alisema muswada huo uko chini ya hati ya dharura na kwa maana hiyo unatakiwa kuwasilishwa haraka ili michakato mingine iweze kuendelea.
Mvutano wa pili ulihusu muswada huo kuandikwa kwa lugha ya Kiingereza badala ya Kishwahili ambayo ni lugha ya taifa ulimlazimu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema kutoa ufafanuzi.
Akijibu hoja hiyo, Jaji Werema alikiri umuhimu wa muswada huo kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa kuwa inafahamika na kusisitiza kuwa umuhimu huo ndio uliosababisha katiba ya sasa kutumia kiswahili.
“Hilo tumelizingatia na katika hayo maeneo kutakuwa na watu ambao wanatoa tafsiri ya muswada huo ili wadau waweze kuuelewa vizuri na hatimaye watoe maoni yao, hivyo sidhani kama kutakuwa na tatizo katika hilo,” alisema Jaji Werema.
Kwa upande wake Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe, alitaka kusimamishwa kwa mchakato huo ili wabunge wapate fursa ya kwenda majimboni mwao kuzungumza na wananchi kuhusiana na mchakato huo.
“Kama huu muswada hautatoa mwanga vizuri hili jambo halitafikiwa kwa mafanikio, pamoja na kuja na hati ya dharura ingekuwa vyema ukasimamishwa ili wabunge tupate fursa ya kurudi majimboni na kuwaeleza wananchi ambao ndio hasa walengwa,” alisema Bw. Zitto.
Hata hivyo, hoja hiyo ilizimwa na Spika Makinda kwa kueleza kuwa mbunge huyo alikuwa ni miongoni mwa wabunge waliotaka muswada huo uwasilishwe haraka na uende na hati ya dharura.
Aliwataka wabunge kushiriki katika majadiliano na wadau yatayoendeshwa na Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala wa Bunge.
Katika hatua nyingine Kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu wa bunge la 10 lilianza jana kwa mjadala mkali baada ya wabunge kadhaa kumbana Spika Makinda wakitaka mwongozo wake kuhusu mambo kadhaa.
Baadhi ya mambo hayo ni majibu yaliyotolewa na baadhi ya mawaziri pamoja na hatua wanazoweza kuchukua iwapo Waziri akijibu swali nje ya eneo aliloulizwa na mbunge.
Akitoa mwongozo wake Spika Makinda alitaja njia tatu zinazoweza kutumiwa na mbunge kuwa ni pamoja na kutumia kifungu cha 50 kifungu kidogo cha kwanza, kifungu cha 28 kifungu kidogo cha 8 pamoja na kifungu cha 63 kifungu kidogo cha sita.
Imeandikwa na John Daniel na Grace Michael
Mimi ni mwislamu, ningefurahi sana kama viongozi wakiislamu nao wangeandika barua kuonyesha kutoridhishwa na mswada huu na mchakato unaopendekezwa. Tuweke imani zetu pembeni jamani, katiba mpya ndio itatuepesha na mambo kama ya Cote d Ivoire
ReplyDeletehongera kanisa katolk kwa kuendeleza vita dhd ya mifsad na misanii ya ccm.hiyo n sifa itakayoliongezea hadh kanisa hili kwa wanyonge.mimi n muumn wa kiislamu lakn naskitka sana kwa unafk wa bakwata ambao wanashrkiana na ccm kufcha maovu huku wanyonge tukiangamia.mimi sijui unafk huu utaisha ln. bakwata n sawa na ccm na waislam waelewa na wasio wanafk watakubaliana nami.leo hii muft anasimama hadharan kujichafua chadema huku akiwa kimya kwa ufsad na uzembe wa ccm. chadema wanaandamana dhd ya maisha magumu yanayotokana na ufsad waccm na muft anapnga maandamano na kuwazuia waislam kuandamana.basi tumweleweje? waislam tusome il tujue mbvu na mbch lasvyo tutaendeleav kuburuzwa na wanafk kama muft huku .tukiendelea kuangamia. heko kanisa katolk na mungu atawabark milele
ReplyDeletewaislam tuna kasoro gan? bakwata iko wap? nan amewaloga kuendeleza uswahba na mafsad huku waumn wenu vwakiteketea.?ole wenu na matumbo yenu.ole wenu kwa unafk wenu. mimi n mwislam msomi na sitafumbia macho swala hl
ReplyDeletemufti wa waislamu tuambie rostm amekuhonga shilingg ngap mpaka sasa tujue sababu ya ukimya wako dhd ya ufsad. mimi n mwislam na ninajua dn yangu haifungaman na mafsad. basi tuambie n dn gan mnayoihubr.n dn ya mtume wetu mtukufu au dn ya rostm na lowasa.n dn ya kiislam au ndn ya ccm na kikwete wenu? n dn ya kiislam cau n matumbo yenu na dhulma mnazotufanyia cwaaislam. n dn ya kiislam au uswahba wenu na mifsad? hakika kiyama itawaumbua siku ikfka.ole xwenu kwa kuwa damu ya waislam na wanyonge xwaza taifa hl itawalzilia mpaka kiyama. tafadhali vwaislam tuache unafk tuwaunge mkono wakatolk mkwa dhamra yaob nzjema na taifa litaokoka
ReplyDeletebakwata mafsad na ccm damu damu na waislam wasom na waelewa tunalijua hlo. muft acha unafk wako
ReplyDeletewakatolk mungu awape nguvu kwan n nyie tu mliobak kuwasemea wanyonge. mkikaa mkimya basi wanyonge n mwisho wetu kwan ccm haitujal kabsa
ReplyDeletewaislamu tujifunze kwa wakatolk tusije tukabak nje ya nyakat.muft umekosa dra na umevmbiwa na hongo za rostam
ReplyDeletenawaunga mkono waislm wenzangu hapo juu kwan bakwata wamezd kuwa wanafk tena mkwa maslah ya mitumbo yao na c waislm
ReplyDeletewaislam tzuamke tuungane na wakatolk. muft ameshanunuliwa na kuolewa na mafsad tukimskilza tutaangamia. wakatolk hoyeeeeeeee
ReplyDeletehv waislam tuna shda gan jaman. mbona hatujui kuwasoma bakwata
ReplyDeletekikwete unatuaibsha waislam kwa uongoz wako butu. mtume alkuwa kiigzo chema kwa uongoz
ReplyDeletekwel kabsa kikwete anaaibsha uislam.ikiwezekana aachie ngaz
ReplyDeletebakwata n hewa kama ccm
ReplyDeletemuft ataongea nn wakat hata gar ya ofs yake n ya mafsad wa ccm. afadhal waislam mmeanza kugundua. mungu awabark waislam na watanzania wote
ReplyDeletebakwata c ya waislam n ya ccm na mafsad wake. kamwe msidhubutu kuwasemea waislm
ReplyDeleteccm mmewapa nn bakwata?
ReplyDeletembinu za kuwagawa watu kwa misingi ya dini, na kuwaacha wakilumbana huku mafisadi wakitafna nchi zimeshagundulika. ccm hamna muda mrefu, mtang'oka tu. tumechoka mambo yenu. maskini tunakula shida, nyie mnakula kuku
ReplyDeleteashukuriwe bvwana mnungu vwa mbingunin kwa kuwa wenzetu vzwatukufu waislam wameshtukia unzafk wa viongoz wao. kwa njia hii tanzania imepona
ReplyDeletemlikuwa wapi nyie ndo mnaotucheleweshea hao mafisadi wangekuwa wamesha koma. yote kheri hata sasa inawezekana tunapaswa kuungana bila kuangalia kabila dini rangi wala dhehebu ishu ni utaifa
ReplyDeleteWaislam mbona mnachanganyikiwa,wakati wakatoliki wanapinga OIC na Mahakama ya Kadhi mlikuwa wapi ? mbona hamkuwapongeza ? je wakati wakatoliki wana pewa Billion 60 Bakwata walipewa ngapi mbona hamkuhoji?Kanisa katoliki halina heri na waislam na ndio maana wako nyuma ya CHADEMA.Hatudanganyiki.Sio wakati wakuilaumu Bakwata ila Waislamu tujipange katika maandalizi ya katiba mpya kwa kupitia taasisi zetu mbali mbali.Sio kukaa kuwapongeza Wakatoliki.Mbona wakati wakusali iddi hatuifuati Bakwata?Wala Bakwata kuto wafuata wakatoliki sio alama za unafik.
ReplyDeletekwa utukufu wa mungu waislam hawa wamekuwa wakwel na mungu wa mohammed mtume wetu mtukufu atawabark
ReplyDeletewakatolk wamekuwa ndugu zetu tangu enzi, wamekuwa na mahusiano mazur na waislamu na hata huduma zao n msaada mkubwa kwetu. mm n mwslam wa masas na huduma za kijamii tunazpata bla upendeleo hosptal kuu ya ndanda.tatzo waislam tunaendekeza unafk sawa na bakwata ndio maana hatuendelei. mahakama ya kadh na oic n ahad ya ccm na kama kama wameshndwa kutekeleza tusiwalaumu wenzetu wakatolk kwan wao sio wanaoongoza nchi.sidhan kama kla k2 wanachofanya serkal lazma wakatolk waridhie na wasiporidhia ndio bas. waislam tatzo letu n elmu ndio maana bakwata wanaendelea kutupelekesha kama vichwa maj. tuamke kama wenzetu wakristu. enz za kujpendekeza kwa mafsad kwa maslah yao zimekoma
ReplyDeletehakika wewe hapo juu n mwslam mwerevu. mungu akupe nguvu uendelee kuwaelmisha wenzako.mungu atakulpa kwa kaz yako njema. waislam na wakristu n ndugu tangu enz. bakwata kamwe hawako kwa maslah ya waislam
ReplyDeletetena wenzangu waislm nitawaambia jambo moja kubwa kuwa hata baadh ya magazet yanayojiita ya kiislam kama alhuda na annuur yamenunuliwa na rostam il kufcha ufsad wake kwa kisingizio cha udn. waislam tuamke jaman. tusitumike kama mwavuli wa madfsad
ReplyDeletemungu wabark waislam hawa waliozubutu kuvunja miiko ya bakwata. huu ndio mwsho wa bakwata na ukomboz wa waislam wote
ReplyDeletemufti tunajua kikwete na maswahba wake wameporomosha hekalu la nguvu pale......... il uwapumbaze waislam kwa maslah yao. ole wako mnafk wewe. tena waislam tumeshtuka kuwa kwa sasa umeolewa na rostam na lowasa alishakuchezea akakuacha. unatia waislam aibu
ReplyDeletemuft unanuka kwa umalaya wako wa kujiuza kwa ccm. tena unatudhallsha ss waislam.hongeren waislm wenzangu hapo juu
ReplyDeletebakwata na cuf wameolewa na ccm. nan atakayewasemea waislam?
ReplyDeleteyaan waislam ndio mnashtuka sasa? mbona wakristu tulishajua sku nyng. bas tuungane tupgane na mafsad
ReplyDeletemufti hana tofaut na changudoa. samahan waislam wenzangu mnaomchukulia kama kiongoz wenu. mm nlishamtapka sku nyng
ReplyDeletetujiulze waislam wakatolk wametukosoa nn. hlo la mahakama ya kadh na oic n la ccm na s wakatolk. hongeren wakatolk
ReplyDeleteama kwel wajnga ndio waliwao. nawashangaa sana waislam wanaomtetea kikwete pamoja na ufsad wake etin kwa sababu n mwslam huku waislm hao hao wakiwa ndio wa kwanza kwa ujinga umaskn, maradh na nk huku bakwata yao ikiendelea kuneemeka kwa hongo za mafsad. najilaumu kuwa mwslam wa tanzania. tatzo letu waislm hamna kitu kichwan na tutaendelea kuburuzwa sana.huku kusn ndio usiseme lipumba amewapumbuza kwa udn kwenye viziara vyake vya juz na kwa sababu wamakonde hatujasoma ndio full kupumbazka. hongeren chadema,hongeren wakatolk
ReplyDeletelait wakatolk wangepewa sapot na wenzao waislam. tungepona. waislam polen sana
ReplyDeletewaislamu hongereni kwa kuelewa mambo yanavyotakiwa kwenda. Tujue ufisadi ukiondoka tutaneemeka wote. hakuna barabara ya muislamu na mkristo, au hosipitali ya muislamu na mkristo. Sisi ni kitu kimoja. Uislamu unatumika pale kiongozi anapotka jamii ya kiislamu imurumie pale anapoboronga. Anatumia fursa hiyo ili msipofikiri vizuri muone anaonewa. udini uliimbwa na kikwete dhidi ya Slaa ukashindwa, ukabila ukaimbwa ukashindwa, ukanda umeimbwa umeshindwa, sasa imebaki nguvu ya umma. nguvu ya umma hain dini kwa vile umma ndio unakosa huduma muhimu za afya, elimu, maji na vitu vingine vingi huku nchi iliyojaa rasilimali nyingi zikichezewa na watu wachache.
ReplyDeleteViongozi wetu wanaishi kama wako peponi wakati watu wake hawana hata mlo mmoja.
hebu angalia mishahara ya wabunge ilivyo juu, mawaziri, rais naye ana mkubwa tuu. Maisha duni ni kwa wote, awe muislamu au mkristo,
Napenda tuunganishwe na umaskini wetu, tusahau dini zetu katika hili. Tusimtetee kiongozi ambaye ameshindwa kuongoza kwa vile ni wa dini yangu. Tumpime ana uzalendo kiasi gani. Ukimsikiliza rais wetu unaweza kufikiri ana huruma sana. lakini rais wetu ni mnafiki sana.
Alisema wezi wa fedha za EPA walirudisha, hakuwachukulia hatua yoyote, anawaakumbatia mafisadi kwa vile walitumia fedha kumweka madarakani. hataki kuwang'oa basi tumdhihirishie kuwa asipowang'oa atango'ka yeye.
Umaskini wa watz ktk tz tajiri utamsuta cku zote. hl la katba tusipokuwa macho, tutalaaniwa na vizazi vijavyo. TUCHUKUE HATUA Tukomae mpaka kieleweke.
Nadhani Tume ya HAKI na AMANI iko wazi, inasema hivi." Aliomba Waziri Kombani kulipatia taifa muda wa kutosha na chombo huru kinachoaminika kuongoza wananchi kufikia makubaliano yatakayojenga msingi imara na kukidhi matarajio" Naomba pia wazo la Mheshimiwa Zito Kabwe liheshimiwe na lizingatiwe. Taifa kupatiwa muda wa kutosha ni pamoja na kujitahidi kupata na hata kuzisoma kiundani katiba na miswada ya nchi zingine zenye demokrasia na katiba zinazokidhi mahitaji ya wananchi. Baadhi ya watoa maoni wanataka kuchochea vurugu sisizo na maana,kwani ktk hatua tuliyonayo kila mtu (mtanzania)anaruhusiwa kuchangia na kutoa maoni yake. Tunashangaa mambo ya udini yanatokea wapi. Tuwe serious kwani swala la katiba ni uhai wa nchi.
ReplyDeleteTUSITEGEMEE MSWADA MZURI PINDI KIKWETE AKIWA MADARAKANI FISADI HUYU LAZIMA WATAFANYA YOTE NA PINDAWAKE ILI WAPINDISHE WAPATE PA KUPAKULIA MAPESA YA WATANZANIA WALALA HOI HUKO WATOTO WAO WAKILA NA KUTAPIKA
ReplyDeleteAma kweli Wkristo ni wanafiki,hebu wenye akili na wenye uwezo wa kuchambua huyu anayejiita muislamu kaandika peke yake yoote mnayoyaona hapo juu huku akipishana kawa muda wa dakika mbili,tano mpaka kumi na baadaye huyohuyo baada ya saa moja hadi mbili anakuja tena kuandika na muda wa kupishana maoni ni uleule wa dakika mbili,tano na kumi,ama umetumwa na kanisa ukae kwenye computer uandike upuuzi wako lakini Wislamu hamtupati kwa hili.SISI TUMEAMBIWA " INNA LWAAHA MAA SWAABIRIINA" MAANA YAKE MWENYEEZI MUNGU YU PAMOJA NA WENYE KUSUBIRI. NA WASWAHILI WANASEMA "SUBIRA HUVUTA KHERI". Sisi tunaelewa kwa undani zaidi malengo yenu lakini tusubiri wakati,ukimkuta mbwa anabweka na wewe ukawa unabweka watu watakuona hayawani (mpumbavu/usiye na akili). Wewe umemtaja Rostam sawa kabisa lakini umemsahau Mkatoliki mwenzenu aliyeizamisha nchi Fisadi Mkapa na wenzake,Sumaye,Lowassa,Karamagi,Mramba,Yonna,Chenge,Mahalu na wakristo wengi tu mnayoimaliza hii nchi. uislamu ni uadilifu na ni wachache sana katika viongozi wa Kiislamu ni mafisadi ukilinganisha na wakristo,wenzetu mna bahati nzuri ukenda ukiungama kwa Padri unasamehewa madhambi yako yote hivyo kufanya uasi hapa duniani si tatizo,kwetu sisi Waislamu hapana ni kesho mbele ya haki ndio patajulikana mbivu na mbichi. CHA MWISHO TUNACHOWAAMBIA SISI WAISLAAM TULIKATAA TANU/CCM MAPEMA SANA LAKINI NYIE MKATUONA WAJINGA SASA MNALAMBA MATAPISHI HATA MKAPA HATUMKUBALI SISI MKATUITA MAGAIDI. NYERERE ANGEKUWEPO MNGEMUULIZA KISA CHA KUIUA EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY NA KUWAPANDIKIZIA WAISLAM BAKWATA,SISI TULIAMKA MAPEMA NA KUHOJI MAMBO MAZITO
ReplyDeletetatzo la waislam n mbumbumbu. wakienda shule watabadzlika kama wenzao wakristo. ndio maana hata muft wao akiongea vyombo vya habar havimpi kipaombele kama maaskofu kwan daima wanatumia nguvu kulko akl. na hii ndio sababu ulimwengu wa magharb unaendelea kuuchezea uislam na kuungamiza kwa umbumbumbu wao. mufti mwenyewe amekaririshwa kiarabu atajua wap hoja na kuzchambua? tena n busara kutozjb kashfa zao kwan n kupoteza muda kumwelewesha zuzu. watabak na umaskn wao na ikshndkana labda wajlpue mabom kwan hyo ndyo hatua ya mwsho kwa mpumbavu
ReplyDeletehawa waislam n watu wa ajabu sana. byaan hawana shukran kabsa.leo hii wanataka kumlaan nyerere pamoja na fadhla alizowatendea. kwa aliyesoma hstoria mwislam wa leo hataacha kulaanwa akimkashfu nyerere kwan alidrk hata kutaifsha shule za wamisijonar il na wao wasome. mpaka azimio la arusha waislm walkuwa kwenye mikeka na wakinywa kahawa na kupga umbea na waarab hawakuwapa lolote zaid ya madrasa ya kukarr kiarab na namna ya kujlpua mhanga.walikuwa wanafundshwa namna ya kufrana na mishehe ya kiarab huku wenzao wakristo wakbukua. na hata mwalim alipojitolea kuwapeleka shule wao walinangania kukarr kiarab na ubasha pamoja na kufrana.leo hii wanamlaum nyerere kwa mkosa gan. wailamu historia ya dn yao na uvivu wao wa kufkr
ReplyDeletePadri Slaa sasa njia nyeupe kuelekea magogoni ili kuongozi Nchi kama tulivyozoea wakristo wenzako tulipokuwa na MTAKATIFU MTARAJIWA Marehemu Mw.Nyerere.Kumbe bado tunanguvu maana Askofu kasema hasira za wananchi ziko njenje leo wanafunzi hapa Dodoma wamelazimisha kuingia ukumbini huku ukiwa umejaa pomoni walipo zuiliwa tu wakafanja fujo serekali imeshindwa kuwazuia hadi kilipokuja chama chako Padri kikafanikia. Lakini safari hii sijuwi kama utapata mteremko kama alio upata Mtakatifu mtarajiwa kutokana na sababu dhahiri alizozieleza John N. katika kitabu chake kiitwacho GLOBAL PADOX
ReplyDeleteAskofu amemwandikia barua wariziri kwa suala la katiba ya watanzania, kwanini tunaingiza mambo ya dini? Tunatukana dini za watu na kuwa out of point. Mufti awe mjinga asiwe mjinga sisi tunataka katiba yenye usawa kwa watanzania wote. Watanzania tujadili hoja tuache mambo madogomadogo ya kidini na matusi kwa dini za wengine.
ReplyDeleteKweli nawaonea huruma wakatoliki kusifiwa na dhambi zenu kwani mnajisahau kabisa usomi wenu na dini yenu kuiona ya halali ndio iliosababisha Rwanda vita ni wakatoliki haohao leo mnapewa hongera unafiki wa kanisa naujua kwani nimesoma mission hakuna wakunidanganya mnaoandika hapa karibu wote hamjasoma mnafuata mkumbo tu poleni kusifia muhalifu na kuona watu wajinga kwenye list ya mafisadi wekeni hadharani muone wakristu wangapi na waislamu wangapi halafu moungee na wanaoandika hapo kujifanya waislam ni waongo ni wakristu mnahamasisha kijanja mtu anakutukana halafu una msupport kweli poleni hamjui mtendalo kama yesu alivyowaambia msalabani hamkujua maana kwani waliomuua sio waislam ni wakristu ule unafiki wa kumuua mtu mnaemtukuza sasa kwa mapambio hautowaisha mpaka mwisho wa dunia.
ReplyDeleteWewe unayejitia Muislam,nani amelaumu Bakwata? hicho ni chombo cha serikali na Pengo na ndio maana Pengo hukutana nao kujadili masuala ya nchi. Tunawaambia siku ya siku itafika na mtajua haki zetu ndani ya katiba,tukaneni kwa kujifanya Waislam lakini ni manasara,janga la dunia sio Waislam ni udhalimu wa Wamarekani waliosema Urusi imekwisha sasa bado Waislam,na cha moto wanakiona sasa,sisi si waoga wala wanafiki na hatutemei mtu wala watu. Umemtaja Rostam Azizi kwa sababu Muislamu ni fisadi na sisi ni waungwana sana hatukatai ukweli ni fisadi kweli,sasa unafiki wenu haujifichi tumekutajia mafisadi Wakiristo waliolifikisha taifa letu hapa lakini kwa unafiki wenu na kutaka kuficha ukweli mnatukana,tukaneni lakini ujumbe umefika.
ReplyDeleteKwenye ukweli hakuna cha udini. Tukiweka mambo haya tutalifikisha Taifa hili pabaya tutachekwa na vizazi vijavyo. Tuache Uislam na Ukatoliki tutafute haki na amani.
ReplyDeleteMkapa sio mtu wa kulaumiwa mkapa alituacha na mkate wa shs. 400 sukari shs. 700 sasa unasemaje leo? Mkapa aliimarisha uchumi kwenye ukweli tumeseme tuache unafiki kwa vile eti ni mkristo hakuna hilo.
Wewe unayesema Mkapa aliacha sukari shilingi mia nne ingia kwenye mtandao wa soko la dunia uone bei ya sukari ni shilingi ngapi? acheni ujinga tunapowataja mafisadi wengine msiwatee kwa sababu wanatoka katika dini yako,nchi ina hali mbaya kutokana na sera mbovu,na nyingi ziliingia sokoni wakati wa utawala wa Mkapa,ardhi zenye madini ziliuzwa kwa bei ya kutupa,mashirika ya umma yakauzwa kwa bei ya kutupwa,mikataba mibovu kama TRL,Bandari,Tanesco. Vitu kununuliwa kwa bei za ajabu
ReplyDelete