Na Agnes Mwaijega
UMOJA wa Wainjilisti wa Kikristo Tanzania (UWAKITA) umesema kutokana na vurugu ambazo waislamu wamekuwa wakiwafanyia katika mikutano yao
watahakikisha wanajibu kila tamko ambalo litatolewa dhidi yao katika makongamano yao nchini.
Hatua hiyo ilitangazwa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa UWAVITA, Bw. Samson Bullegi alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu matukio mbalimbali, aliyosema waislamu wamekuwa wakiwafanyia wakristo nchini.
"Kuanzia sasa UWAKITA utajibu kila tamko litakalotolewa na waislamu kupitia ama redioni,chombo kingine cha habari au makongamano kwa stahili ile ile watakayoitumia wao, lakini kwa busara," alisema Bw. Bullegi.
Vile vile umoja huo umeitaka serikali kuwaachia huru wakristo, wachungaji na wainjilisti ambao wamewekwa katika mahabusu ya Polisi Mto wa Mbu kutokana na vurugu zilizofanywa na waislamu Monduli, Arusha kwa madai kwamba hawana hatia yoyote.
Pia wamelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kutokuchukua hatua zinazotakiwa dhidi ya vurugu zinazofanywa na waislamu katika mikoa tofauti pamoja na makongamano ambayo yanawadhalilisha viongozi wa kikristo nchini.
Hata hivyo, UWAVITA ilisema haina imani tena na Wizara ya Mambo ya Ndani hususan Jeshi la Polisi, hususan muundo wake, kwa kuwa serikali imekuwa haitoi kauli yoyote ya kukemea vitendo hivyo wala kuwachukulia hatua wahusika ambao ni waislamu.
Bw.Bullegi alitoa mfano wa baadhi ya matukio ya vurugu ambayo yalifanywa na waislamu kwamba ni pamoja na kuvamia kanisa la Anglikana la Nguruka mwaka 2008, AGT Kyala na kufanya uharibifu mwaka 2007, Kimara Baruti mwaka 2003 na Faith Mission lililopo wilayani Chato.
"Wakristo tumekuwa wavumilivu sana kwa muda mrefu kila waislamu wanapofanya vurugu katika mikutano yetu, sasa hivi tumechoka.
"Mbaya zaidi hata Jeshi la Polisi ambalo linatoa kibali cha kufanya mikutano hiyo halioneshi ushirikiano katika kipindi chote ambacho waislamu wamekuwa wakifanya vurugu hizo kwenye mikutano ya wakristo," alisema.
Aliongeza kwamba wanapata wasiwasi wanapoona kwamba matukio hayo bado yanaendelea bila Jeshi la Polisi kuingilia kati.
Alisema kutokana na uharibifu uliofanywa katika mji mdogo wa Mto wa mbu Februari 26 mwaka huu kimewasikitisha na kuwasukuma kuzungumzia juu ya suala hilo, na hivyo kuitaka serikali kulipa mali zilizoharibiwa.
Ndugu zangu wakristo, vita yetu sisi si juu ya damu na nyama, bali juu ya pepo wachafu na ibilisi. Mnapoona wanaosema Yesu si Mkristo (yaani wapinga Kristo) wanaleta fujo kumbukeni kwamba ni dalili ya ufalme wa ibilisi kufitinika. Sisi tukaze buti. Tusikae kimya badala yake tusimame katika jina la Yesu Mungu wetu... shetani ameshindwa
ReplyDeleteee bwana wangu wa milele yu hai na wala hafi
ReplyDeleteutakumb uka kija na mtovu wa nidhamu huogopa anapokaRIPIWA BASI NAWE UWE UWE NA SUBIRA.
Ndugu zangu wakristo acheni fitna hizo. wakati wa mkapa maaskofu wakitamka neno tu bila uchunguzi sewrikali ilkoichukuwa hatua za kuwadhuru waislamu mifano ipo - hii serikali ni nyengine bwana haina upendeleleo -waacheni polisi wafanye kazi yao msiwafundishe
WAINJILISTI KARIBUNI SANA KAMA MMEGUNDUA HILO KUWA MNAONEWA NA DAWA MMESHAIPATA, NADHANI KTK MAANDIKO YENU!!BS MNAKARIBISHWA KWA MIKONO NA MIGUU MIWILI HAMJACHELEWA. LAKINI MUWE WAANGALIFU KTK UJIO WENU MSIJE MKARUDI TENA HUKO MSIKO KUWA NA IMANI NAKO POLISI!!
ReplyDeleteSijawahi kuona muhadhara wowote wa Kiislamu ukaacha kukandia dini ya kikristo. Utasikia "Wakristo ndiyo makafiri" JE HUU SI UDHALILISHAJI. Kwa jinsi serikali ilivyolichukulia swala la Mto wa Mbu, Arusha ni dhahiri watawapa kichwa waislamu wakorofi wanaojiita wapigania dini na kuleta madhara makubwa. Siku zote wamekuwa wakitumia Biblia kusoma mistari na kuitafasiri vibaya, je hii ni sawaa. Kwanini wasisome vitabu vyao na kuelimishana? Siyo tu UWAVITA ndiyo wamekerwa na jambo hili, bali ni wakristo wengi tu wapenda amani. Naomba wizara ya mambo ya ndani, fatilieni mikutano na miadhara yote na mkemee uchochezi wowote bila kupendelea. La sivyo nchi itapoteza amani.
ReplyDeleteNdoto ya kikwete mchochea vurugu namba wani wa nchi hii sasa imekamilika. Watanzania kila siku iendayo kwa mungu wanazidi kujuta kumpa kura mkwere huyu aliyetumia hata dini kujipatia madaraka!
ReplyDeletewakristu hamna jipya wala hoja ya kuutetea ugalatia wenu.tuna hamu na shingo zenu.
ReplyDeleteHuyu Kikwete jamani Meja Jernerali msastaafu Luhanga aliwahi mtukana kwamba ni mgonjwa,sasa asipowabeba Waislam wenzie nani atamzika na kufa kumekaribia?Amekwenda na maji.Waislamu hata walete uhuni hatutawajibu maana Utawala wa shetani ndio umefika mwisho.Uwakita nawaomba kuweni wapole maana Yesu alisema akikupiga shavu la kulia mpe na la kushoto.Rais Muislamu,Makamu wake hivohivo,Waziri wa mambo yandani Muislam,IGP muislamu kunanini hapa?Waacheni wawatoke Nguruwe na watumbukie baharini
ReplyDeleteMimi ninaona tuvumilia vya kutosha, ukikuta mihadhara yao waislamu ni kichefuchefu kwa wakristo. Hatuna budi hata sisi sasa kwa sababu wameshaanza nikiwakuta sehemu ambayo nipofiti ninawaparuza tu. Tumechoshwa na kiherehere chao. Tulishalalamika hawa watu wanachafua sana upande wa wakrito lakini serikali haisikii.
ReplyDeleteDuh!!!noma hiyo hivi kuna ushaidi y kwamba mhe.Rais ana wabeba waislam wakati ukiangali baraza la mawazili wengi wakristo hata manaibu pia,tusipende kuituka serikali ndio iliyo tulea mpaka leo midomo y kuituka coz mmeachiwa tena sana n hiyo serikali kwani waislam waongea kw ushaidi n siyo nyinyi amna ushaidi coz mnaongea tu yaliyo tokea arusha mkakimbia nyie si watu wa mungu mnageuza mashavu yote mngebaki sio kukimbia sawa kama kweli mnayo sema yote y mungu mtapa msaada kwake sio kukimbia mbona waislam awaogopi kama nyie coz mko kw masilai yenu sio kwa masila ya taifa lenye amani km tz
ReplyDeleteTatizo kila mtu anajua jinsi alivyojifunza kutokana na imani yake sio kukimbia au kuonyeshana ubabe kama desturi yenu mnayofundishwa huko madrasa. Maadili ya kikristo ni ya upendo sio ya fujo, lakini ukimchokoza ni kasheshe. Na isitoshe hii imeshadhihirisha ile kauli ya Kikwete ya udini ndio jeshi linajiandaa kuangamiza ukristo. Lakini mtambue mliweza nchi nyingine lakini Tanzania itawashinga.
ReplyDeleteRoho ya mpinga kristo iko kwa waislam, kwa hiyo wakristo mnapoteza muda kubishana na wapinga kristo. changamkeni wakristo msijiingize kwenye midahalo isiyo na tija. waislam wako juu ya damu na nyama...
ReplyDelete