16 April 2012

Mdee, Bulaya wataka kumtoa Lulu gerezani

Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Kawe Bi. Halima Mdee (CHADEMA) pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Bi. Ester Bulaya (CCM) wameamua kujitokeza kumsaidia msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayetuhumiwa kumuua aliyekuwa mwigizaji marehemu Steven Kanumba.
Wabunge hao juzi waliamua
kwenda kumuona Lulu na kwa sasa
wameamua kuendesha kampeni ya
kuchangisha fedha za malazi kwa
ajili ya familia yake.
Bi. Mdee kupitia ukurasa wake wa
mtandao wa kijamii Twitter alisema
Lulu anahitaji mwanasheria makini
wa kuweza kumnasua kwenye kesi
hiyo akiwemo Mwanasaikolojia wa
kuzungumza naye ili aweze kuwa
vizuri kiakili.
Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe
aliandika katika ukurasa huo kuwa
“Leo (mwishoni mwa wiki) mimi
na Mheshimiwa Bulaya tulikwenda
kumuona Lulu Oysterbay Polisi.
‘She really needs our support’ (
kwa kweli anahitaji msaada wetu).
Kwanza ‘she is only 17’ (kwanza
huyu ni binti wa miaka 17 tu).
“Pili anahitaji sana psychological
support (msaada wa kisaikolojia).
Nawaomba watu wenye taaluma
hiyo wasisite kwenda kumuona.
Wasiliana na 0714282527 Steve
Nyerere. Tatu anahitaji wanasheria
makini wa kumsaidia na kwa
yeyote ambaye yuko tayari naomba
awasiliane nami 0759 569823
(Halima Mdee). Nne, at that
tender age (kwa umri huo Lulu)
ndio alikuwa anategemewa na
familia yake. Now (sasa) yuko
ndani matatizo yamezidi kuwa
makubwa.
“Kwa yeyote anayeguswa,
naomba atume chochote kwenye
namba hii 0754 878890 ni namba
ya M-Pesa ya mama yake tumsaidie
huyu mtoto!...”Again (tena)..
namba ya M-PESA kwa wanaotaka
kumsaidia Binti yetu Lulu ni
+255754878890. Ni namba ya
mama yake,” aliongeza Bi.Mdee.

62 comments:

 1. ARE U SERIOUS MBUNGE WEWE?iF SHE IS VERY YOUNG NA WEWE UNALIJUA HILO ILIKUWAJE AJIHUSISHE NA MAMBO MAKUBWA KIIVYO?SIMAANISHI SHE IS GUILTY LAKINI MAMBO ALOKUWA ANAYAFANYA MBONA HUKUYATULIZA KABLA YA KUFIKA YALIKO?MBONA WENGI WANAHITAJI MISAADA YA MAANA ZAIDI HATA MFANO CHAKULA,ELIMU NA MALAZI HAMJAJITOKEZA?AU NDO MAMBO YENU YA HOVYO WANASIASA KUTAKA UMAARUFU?WAKILI ATAWEKEWA NA SERIKALI MSAADA YENU IYO PELEKENI KWA WAHITAJI WA KWELI!!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. no, unajua kiukweli, wahitaji ni wengi as you said, na pia tunaomba kutambua kua ww ni shabiki mzuri wa KANUMBA, but it is not right to direct convict Lulu, perhaps you'll say I am Fool to say so, okey right but let you have a look into this matter deeply then you notice what do we mean. Any way what you said is right according to you and many others of your sort, then think twice brother/sister.

   Delete
 2. ni kweli anaitaji msaada. Ila utatoka mahakamani. huko ndo kuna sheria. Unataka ufisadi ufanyike? kwani mahakama haitoi haki?

  ReplyDelete
  Replies
  1. aaa Bwana/bibi kwani wewe hujawai ona kua wanao ozea gerezani ni wale maskini ilhali nobles wanafaidi matunda ya inchi tena kwakutunyonga makabwela!!! au wewe upo dunia ipi unae weza kutetea kua mahakama zetu zinajali maskini, aaaaaaaa sanuka basiiii, wasomi wanasema inchi imeuzwa hiii, sembuse mahakama zisizo na maamuzi ya ukweli hizi????

   Delete
  2. Jamani YESU alikuja kwa watu wenye dhambi kama mimi na wewe usomaye comment hii kama sihivyo basi asingekuja,tumeambia samehe 7*70 per day je lulu amekosea mara ngapi?lakini pia nani ajuaye kati ya lulu na kanumba nani mwenye kosa?je wewe unajua?if not kwanini unahukumu?Sisemi kwamba lulu afunguliwe au asifunguliwe no no but Tusimuhukumu without evidance. Hivi kama MUNGU angehesabu makosa yako je wewe ungepona?

   Delete
 3. Mbunge try to spear your time,kusudi sheria ifuate mkondo, najua unahuruma kwakumfahamu kwako lakini ni wengi wanamatatizo kama hayo au zaidi.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Jamani tuwe waelewa kinachoongelewa hapo siyo rushwa family Problems na msongo wa mawazo mbona jamii inaoneshaimeisha muhukumu Bila kusubiri mahakama? kama una mchango kaaa kimya. acheni kupotosha.

   Delete
 4. Jamani waheshimiwa wabunge wetu!!! Hivi ni watu wangapi wana shida za kweli na hamjitokezi kuwasaidia? tukisema mnatafuta umaarufu tutakua tunakosea? Acheni sheria ichukue mkondo wake!! si mnasema kuna haki nchi hii !! sasa wasiwasi wa nini? Chonde chonde msitufikishe huko.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Jamani acheni sheria ichukue mkondo wake. na jua enyi wabunge mnakazi zakutosha Bungeni. hivyo hilo suala liachieni mahakama.

   Delete
 5. Nilikuwa nasoma comments zako mara kadhaa zinaonyesha wewe ni mkristo. Je, huyo Yesu wako ana kikomo cha rehema? usihukumu usije ukahukumiwa. kumbuka hata wewe una yako ambayo Yesu akikuandikia chini kama waliokuwa wanataka kumpiga mawe magdalena ati kwa kuwa ni mzinzi. akaandika dhambi zao chini kils mmoja alipoisoma, hakuthubutu kushika jiwe tena, badala yake akaondoka eneo la tukio. Dhambi ya Lulu ( kama unavyoibainisha kuwa ni dhambi), iwe ni fundisho kwako na wewe utafakari na kuchukua hatua kwenye maisjha yako. Kama huzini, unasema uongo, ufisadi, rushwa, masengenyo n.k. Muombee na kujiombea wewe

  ReplyDelete
  Replies
  1. whoever you are, chozi limenidondoka kwa ukweli wako mbona watu wana msikio lakn ......, hebu Watanzania tuache kukurupuka na kushabikia mambo, Kanumba Has gone wote hatujui how come, umsubishe Lulu, sometime labda hata kanumba angefufuka kwa hata dakika ange amuru Lulu afunguliwe. samahani kwa kusema hayo is me ezgard

   Delete
  2. Mh Be blessed for nice comment.
   Ngugu zangu tusihukumu tusije tukahukumiwa,tuache sheria itoe jibu.
   By the way no one who is perfect

   Delete
 6. Kama Halima kaguswa, muache aguswe maana anachambua vitu kwa mtazmo mkubwa zaidi kuliko hata mimi. Binafsi namuombea Lulu atoke gerezani na Mungu amsaidie katika mapungufu yake.la kama hatapona basi mapenzi ya BWANA Yatimizwe.

  Kuna watu wamezini kabla hawajaoa, wamepelekea wake zao watoto wa nje, tena wamewazaa wakiwa na umri mdogo kuliko wa lulu, hao nao tunawaweka kwenye kundi gani? Hali kadhalika na wanawake walioacha shule wakazaa wengine hadi na miaka 15. mh! ama kweli dunia ina mambo, leo lulu anaonekana mzinzi wa umri mdogo kana kwamba ndio wa kwanza hii dunia hususani Tanzania, lol! kila siku serikali inapiga vita early marriages,hatuoni yote hayo jamani? Kuna wengine wanaweka comment humu na wakitoka wanayoenda kuyafanya Mungu anajua. Kama Mungu aishivyo na rehema yake ilivyokuwa nyingi hata kwa yule mama mzinzi, tunamuombea Lulu neema ya Bwana imfunike na apate badiliko la milele.
  Fundisho hilo likabadili maisha yake na kumfanya kiumbe kipya.

  Ninaamini kuna mashemasi, mashehe, wachungaji, na mapadri wanaozini na mabint wadogo tu.Tofauti ni kuwa dhambi ya lulu imeambatana na kifo cha mpenziwe ndio maana tunamchukia. Wnagapi huwa wanashuhudia wazazi wao wakigombana majumbani tena vichapo vya ukweli hadi mmoja alazwa au kupoteza fahamu kabisa. Jamani Lulu hajafanya jipya. Hakuna jipya chini ya jua. Tumuombee badiliko, na kwa wale walio karibu wamtie moyo, yatosha sasa aliyopitia.

  ninashangazwa sana na watu wanaomuombea afungwe. Ni kweli Kanumba tulimpenda, tumepata pigo na kumpoteza. Hebu lulu kama mdogo/mtoto wetu, tumchukulie kwa upendo na kuona kama limetufika majumbani mwetu.

  ni rahisi sana kuhusisha tukio lake na matendo ya zamani, lakini kwa hili, tumuachie Mungu afanye kazi yake ambayo tutaipokea kwa shukrani.

  ReplyDelete
 7. Lulu si alikuwa anatamba na Lexus! ipigwe mnada basi apate pesa za kumlipa wakili, hatuna haja ya kujikamua kumchangia wakati asset anayo! na zaidi basi kimfaacho mtu chake! Auze hivyo alivyokuwa anatambia mjini vimuokoe!

  ReplyDelete
 8. sasa aone kijasho kitakavyo mtoka amezidi sana anajifanya anaweza sana hasa kuchukua waume za watu. kama kweli alikuwa anampenda marehemu Kanumba basi aseme ukweli.

  ReplyDelete
 9. mimi sioni kama anaonewa wala simuonei huruma hata kidogo yaani yeye akubaliane na matokeo tu. kama yeye anajiona ni mtoto mdogo huo usiku alikuwa anatafuta nini kwa marehemu Kanumba? inaniuma sana kumpoteza msani kama Kanumba, kwanza alikuwa anainua vipaji vya watoto sasa hao watoto watafanya nini pia hakumbuki yeye mwenyewe lulu ameinuliwa kipaji na marehemu halafu anakuja kufanya mambo ambayo hatukutegemea kama yatatokea.

  Baada hiyo misaada apewe mama wa marehemu hilo halifikiliwi ila lulu ndio anafikiliwa kama aliyofanya ni mazuri.

  ReplyDelete
 10. Yaani hiki kitoto mimi nakichukia sana maana kimesababisha Staa wetu kumpoteza nilikuwa napenda sana kuangalia MOVIE za marehemu Kanumba hata yeye nilikuwa namfagilia kwa sana tu.

  NAMUOMBEA KWA MUNGU APUMZIKE KWA AMANI

  ReplyDelete
 11. KWA NINI APEWE MSAADA LULU? JE MAMA KANUMBA ANAPEWA NINI?.

  KAMA KUNA WATU WANAUMIA JUU YA LULU KANA KWAMBA AMEFANYA VIZURI DA!KWA KWELI MIMI NAUNGANA NA MAMA KANUMBA KWA KUUMIA MAANA NILIKUWA SHABIKI WAKE PIA ALIKUWA ANAPENDEZESHA MOVIE.

  MOVIE ALIYOKUWA AKISHIRIKI ILIKUWA INAONEKANA NZURI SANA KWA SASA WASANII KAZENI BUTI KATIKA MOVIE ZENU ILI KUWEZA KUWACONFIZI WATU. DA!MASIKINI JEMBE LA UKWELI LIMETUTOKA HIVI HIVI.

  ReplyDelete
 12. Jamani, hoja ya msingi hapa ni kwanini Lulu wakati watu wenye matatizo kama haya wako wengi sana. Huko huko Oysterbay polisi kuna watu wako ndani kwa kubambikiwa tuhuma tu, kwanini tusichunguze na hizo na kuzifuztilia?
  Kuna akina mama waume zao wako ndani kwa makosa madogo ya uzururaji na yanayotokana na kujitafutia riziki, wameshindwa kupata hata mlo wao mmoja, mbona hatujajishughulisha na hayo?
  Acheni kujitafutia umaarufu kwenye shida za watu, kama mnasaidia well and good lakini kwanini Lulu.
  Kama suala lake liko mahakamani why talk of kumsaidia, sijui ni mtoto mdogo. Kama ni initiatives mpya semeni mkituambia ni nani mwingine mwenye shida za aina hiyo atasaidiwa baada au concurrently na Lulu.

  ReplyDelete
 13. Nyie Halima Mdee na mwenzako Huyo Bulaya, pelekeni michezo yenu michafu mbali na jamii yetu.Tunawafahamu kuwa ninyi hamfahi kabisa kwenye jamii,ila basi tu ni kwamba mnajidai kuwa hamjurikani,lakini tunawafahamu.
  Upuuzi wenu na matendo yenu machafu kaeni nayo.Watu gani mnasagana nyie?

  ReplyDelete
 14. hizo pesa si atafute huko huko gerezani wanaume na huko si wapo awape kitu wampe sio uchafu wake aufanyie uraiani tu hata huko ruksa akitaka na huko watu wana ukwasi na hiyo kitu watampa hata madolali.

  ReplyDelete
  Replies
  1. lulu muuzaji ni mtu mzima kama alisema yeye ana miaka 18,anaweza kuwauzia watu wa gerezani ..

   Delete
 15. jamani lulu mdogo wangu nakuhurumia sana lakini sheria inataka kuchukua mkondo wake m/mungu mwingi wa rehma ukitubia ukiwa gerezani majibu utayapata kwa uwezo wake kwani hakuna aliyeshuhudia ulipomsukuma shahidi ni m/mungu kuna kisa kimoja bwana mmoja alikuwa akiishi na mama yake mzazi akiwa ni mzee pamoja na mke wake sasa yule mama kutokana na umri kuwa mkubwa aliugua uchizi usiku watu wakilala yeye huamka na kupiga kelele yule mwanamke alikarahika sana siku hiyo akamwambia mumewe bwana maisha haya mimi siyawezi kila siku watu hatulali kwa karaha za huyo mwehu mumewe alishangaa na kumuuliza nitafanyaje na huyu ni mzazi wangu nitampeleka wapi? akamjibu ni tatizo dogo kwa yeye anapoamka usiku wa manane hapa ghorofa ya mwisho ambayo walikuwa wakiishi akasema akipanda nawe uende kisha utamsukuma hiyo kero itakwisha yule baba hakufikiria chochote isipokuwa ni kumridhisha mke wake akafanya vile yule mama akafa asubuhi watu wakaona maiti watu walisikitika na yule mwanamke akajifanya kulia sana na yule baba akajifanya hajui chochote yeye na mke wake lkn hakuna aliyejua isipokuwa m/mungu yule baba alikuja kuugua uchizi kama mama yake yule mke wake akamkimbia naye akaja kufa kama alivyokufa mama yake lkn maiti yake ilikaa pale mpaka ikaharibika akaja kuzikwa kama mzoga bila kuoshwa wala kufanywa chochote hayo ndiyo malipo ya atendae dhambi sasa na wewe mdogo wangu kama kweli ulimsukuma mar.kanumba utakuja hukumiwa kwani sisi hatuna uwezo wa kuhukumu na kama hujamsukuma mola wako ndiye anayejua.

  ReplyDelete
 16. MIMI SIJAFURAHIA HATA KIDOGO KAMA NI WATANZANIA WALE WANAOFAAHIKA ZAIDI KWA HURUMA HATA KUWAACHA MAFISADI WA NCHI HII KUWADHULUMU HAKI ZAO NDIO NYIE MNAOTOA MICHANGO YENU YENYE MAWAZO MABAYA HIVYO, KUNA MSEMO UNAOSEMA (USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA). HATA KAMA MLIKUWA MNAMPENDA KANUMBA KULIKO MAMA YAKE SI HAKI KUMUHUKUMU BINTI WA WATU BILA USHAHIDI, KWANI HATA MDOGO KANUMBA HAKUTHIBITISHA KAMA ALIMUONA LULU AKIMSUKUMA KANUMBA BALI ALISIKIA MABISHANO NA KELELE HATIMAYE UKIMYA, PIA RIPOI YA MA-DOCTOR ILISEMA TOFAUTI. ILA NAWAKUMBUSHA KUNA NENO KATIKA VIABU VYA MUNGU LISEMALO '' USIMUHUKUMU MTU NAWE HAUJAHUKUMIWA, NA OLE WAKE ATAKAYEMUHUKUMU MTU KABLA YEYE HAJAHUKUMIWA! BINAFSI NAOMBA HAKI IJE KUTENDEKA IWE KWA LULU AU UPANDE WA KANUMBA. YOTE MUNGU NI MWEMA.

  ReplyDelete
 17. jamani mchango wa nini kwani lulu ndiye aliyefiwa au mama steven mbona namba zake za mchango hazitolewi
  nyie mdee futeni ujinga mmemsahau mama kanumba ndiye aliyefiwa nyie vipi nyie kweli acheni mahakama ifanye kazi yake la sivyo mtapigwa makofi hadharani msichokijua kitawasumbua acha haki itumike na huyo binti aseme ukweli kwani SHE IS SWEET EIGHTEEN ISNT IT?
  umeona video yake alisema yuko 18 na ana weza SIGN CONTRACT ????????

  ReplyDelete
 18. wewe mbunge Mdee unaweza kukumbuka ni wapiga kura wako wangapi wa jimbo lako la kawe wana matatizo kama ya lulu na hujawatembelea magerezani.Leo unajifanya unahuruma sana na lulu wako huyo au ndiyo unatafuta umaalufu kupitia kwa msanii huyo

  ReplyDelete
 19. No comment . Mungu ndio mwenye kujua ukweli na Je si twafahamu sheria ya kuwa anayejamiiana Under 18 anaingia jela? Haki hapo itendeke. Wanaume acheni kutembea na watoto wadogo. Hilo liwe fundisho kwani wao ndo wanaowarubuni na kuwatumbukiza katika dimbwi la mapenzi ktk umri mdogo.

  ReplyDelete
 20. KANUMBA AMEVUNA ALICHOPANDA. HAKUNA ANAYELIONA HILI? NI KOSA LA JINAI KUFANYA MAPENZI NA MSICHANA ALIYE CHINI YA UMRI. HAMKULIONA HILO? AU KWA KUWA ALIKUWA MWANAUME, TENA MHUSIKA MKUU WA SINEMA (STARLING)????

  SERIKALI YA ccm NA MAPOLISI WAO WALA RUSHWA WALIJUA HILO LAKINI WALIACHA IENDELEE. LEO MNAEGEMEA UPANDE MMOJA KUMLAUMU LULU TU. HATA MFANYEJE, KANUMBA ANATUMIKIA ADHABU YA UASHERATI WAKE SASA.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Napenda kumuunga mkono msemaje aliyepita kwani anazungumza ukweli.

   Katika nchi zilizoendelea hususani Marekani na Ulaya vitambulisho kwa raia wake ni jambo la lazima,

   Katika kitambulisho tarehe ya kuzaliwa pamoja na finger print za mhusika huwepo katika baadhi ya vitambulisho hivyo ili kumtambulisha mhusika ipasavyo

   Umri ni jambo la muhimu sana katika nchi hizi na utakuta mtoto mwenye miaka 17 anapokaribia au anapofikia umri wa miaka 18 hufanya sherehe kubwa za kutoka kwenye utoto na kuingia utu uzima kati

   Baadhi ya watoto hudai haki kutoka kwa wazazi wao kuanza maisha yao na kujitenga na wazazi wao

   Kama nilivyosema umri ni jambo la muhimu kwani hata kwenye mabaa au club lazima kuonyesha kitambulisho mlangoni kwa vyovyote vile hata kama umbo lako ni kubwa kama uu chini ya umri wa miaka 18 huruhusiwi kuingia kwani sheria inaruhusu wale wenye umri wa utu uzima tu kuingia

   Tukirudi kwa wasanii wetu tulimpenda mwigizaji wetu Kanumba filam zake zilikuwa na mafundisho makubwa kwa jamii lakini mbali na mafundisho hayo akiwa kama mwalimu alikuwa anatakiwa kuzingatia sheria hasa za kuhusisha watu wenye umri wa utu uzima kwenye filamu hizo achilia mbali kufanya nao mapenzi.

   serikali lazima ijaribu kuangalia kwa undani swala hili kwani linawaharibu watoto wetu wenye umri mdogo kujiingiza kwenye ajira na hatimaye kuishia kwenye ukahaba

   Kama tulivyosikia Lulu alianzia kwemye kituo cha Luninga akiwa msichana mdogo. Ni vizuri jamii ikajua ukweli jinsi na ni kwa vipi alipata ajira akiwa chini ya umri wa miaka 18

   Hilo ni tatizo ambalo serikali lazima ilifanyie kazi mapema kwa kuangalia tena sheria za uajiri na utekelezaji wake

   Wizara ya wanawake na watoto pia ihusike na hili kwani wao ndio watungaji wa na kanuni za kulinda haki za watoto na kuhusika na kuwaajibisha wale wanaovunja sheria za kuwaruhusu watoto kuingia kwenye madangulo mabaa nk kujiingiza kwenye filam za mapenzi
   Ni wakati sasa umefika sheria hizo kama zipo zipovunjwa faini kubwa itolewe hata ikiwezekana kufunga biashara ya mhusika na kumpeleka mahakamani kufuate kwa wale watakaoingiza watoto kwenye sehemu hizo kinyume na sheria.

   Kifo cha Kanumba kiwe ni chachu ya kubadilika .
   Kwa kuhitimisha napenda kuunga mkono wabunge waliojitolea kuhamashisha jamii kumchangia / kumsaidia mtoto Lulu aliyeingizwa kwenye mapenzi kwa ushawishi wa fedha

   Naomba haki itendeke katika kumhuhukumu mtoto huyu ambaye ni sawa na watoto wetu wengine

   Delete
  2. acheni kuhukumu kitu msichokijua mnauhakika gani kama walikuwa wapenzi? hbu acheni hivyo jamani tumieni hekima na busara ktk kuliendea hili suala , acheni vyombo vya sheria visimamie haki, kama kuna kosa au la basi yeyote kati ya marehemu au bi lulu mmoja wao atashinda, kuwenu watu wenye hekima jamani.

   Delete
  3. Kuwa wapenzi siyo lazima tuone picha zao za video .

   Wewe ukija nyumbani kwangu nitakukaribisha sebuleni lakini maelezo ya awali yanasema walipokuwa chumbani

   Sasa huku chumbani wanakwenda kufanya nini wakati umri wa lulu ni wa mtoto wa shule

   Kama wewe ni baba wa watoto je unaruhusu mazungumzo ya binti yako yafanyike chumbani au sebuleni

   Hekima unayoitaka ni ipi na ushahidi gani zaidi ya safari zakurekodi filamu kufanyika mikoani

   tafakari kwanza kabla watanzania hawajakuweka kwenye kundi la kuharibu watoto

   Mungu ibariki Tanzania

   Delete
 21. MTOTO HANA MAKOSA,HUYO MAREMU HAKUTUFAA KATIKA JAMII ALIKUWA MWALIBIFU KAMA WAHARIFU WENGINE KAMA IDD AMIN,ALITAKIWA AWE JELA LONG.KAMA HAKI IPO MALI ZAKE ZIUZWE HAKO KATOTO KAFIDIWE DAMAGE KALIYOIPATA.SHENZI TYPE XA WATU KAMA HAO HUKU MAREKANI HATA MAITI YAKE INGEHUKUMIWA PUMBIFU.

  ReplyDelete
 22. Ndugu mchangiaji uliyepita hapo juu,

  Kwani hukamiliki mpaka utukane? halafu umeandika kiswahili kibovu kibovu - yaani unaonekana ni kiasi gani ulivyo mtumwa wa ki-marekani - sasa unataka kutuonyesha kwamba hujui kiswahili vizuri au ndio ulimbukeni wako tu?

  Tafadhali andika na ufikirie kwakutumia kichwa na si kwakutumia tumbo - Hovyoooooo!!!

  Zanzibar!

  ReplyDelete
 23. HA!HA! YOU CRAZY YOU WANNA ME TO BE SULTAN "ZANZIBAR" SLAVE NO WAY AND NEVER ,FORGET LOOSER YA ALL HATER OVER THERE.YOU WELL COME HERE IS GOOD PLACE IS JUST FREE COUNTRY NO CRAP EVEN BULLSHIT YOU JUST LIVE YOUR LIFE ,THE MOST GOOD THING EVERY ONE IS PROTECTED ,YOU GUYS YOU LIKE SAY YAHE ATOKA BARA TUCHOME KIBANDA CHAKE.BULLSHIT WHO GONNA LIVE ON THAT KIND OF LIFE.I SUPPORT LULU AND I LL SUPPORT HER FOREVER.JUST SIT DOWN AND THINK ABOUT YOUR LITTLE GIRL OR YOUR BEAUTIFUL LITTLE NIECE AND SOME STUPID PREDATOR DESTROYING HER LIFE.TAKE A PICTURE AND RE FLESH YOU OWN MIND.

  ReplyDelete
 24. wote mnaongea utumbo hakunamwenye pointi hat mmoja, pumbavuuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
 25. Guys if you think you don't have something to write then don't write crap please.

  ReplyDelete
 26. Changisheni hela kwa ajili ya matatizo ya majimbo yenu. Umeona wale watoto wenye maji kichwani wanahitaji 258,000/= tu, kawapeni basi

  ReplyDelete
 27. Lulu hasitahili kusamehewa hata kidogo kwani ameua kwa kukusudia. Kama yeye anajua kuwa ni mtoto,alifuata nini nyumbani kwa marehemu Kanumba wakati huo wa usiku?

  ReplyDelete
 28. Waheshimiwa wanasiasa waache kutafuta umaarufu kwa kuwatetea hata waharifu kama Lulu

  ReplyDelete
 29. Mdeeeeeee Aku!

  Kuna wagonjwa wana lala chini,

  Munaanza kupoteza Umaarufu.

  Tafuteni Mambo ya msingi ya kijamii. Hako katoto kalikua kanaongea na basha wake ndio kicha cha kijana mwenzetu kututoka. Huyo basha wake anatosha kumtoa.

  Hivi hapo polisi ulipokwenda ulijaribu kujua matatizo ya wengine au ni LULU tu.Naimaani ungechunguza shida za wengine wangekupa machungu zaidi ya LL. Hebu kama umeamua kweli kusaidia wafungwa na maabusu fanya ziara mikoa yote uje na Hoja tuta changia.

  ReplyDelete
 30. ladies and gentlemens, if you have nothing to do dont do it here

  ReplyDelete
 31. Good comment, well thought

  ReplyDelete
 32. we mbunge Halima ulipofika hapo osterbay hujakuta wengine wenye matatizo na hawana msaada?au yao ni madogo!kama ulijua umri wake ni mdogo je ulimshauri nini kwa mambo anayoyafanya,usituzingue hata sisi tuna ndugu zetu wapo huko kitambo tumeshindwa kuwasaidia

  ReplyDelete
  Replies
  1. wewe halima mdee huna lolote,kwani hukusikia kwenye mkai .tv akisema ana umri wa miaka 18 na birthday ilikuwa ya kuuwa mtu,kama unampenda sana lulu kwa nini hukumsaidia na mambo ya wakubwa aliyokuwa anayafanya,wewe mdee ni mkundu tu,unataka umaarufu kupitia lulu,lulu ni malaya muuza mapenzi kwa kila mwaname ..

   Delete
 33. Mbona babu Sea amesingiziwa na anaozea gerezani? Kama kweli unahuruma anza na wengine acha kujipendekeza na kesi haikuhusu.Kaa kimya watanzania wanamatatizo mengi zaidi ya hayo hivi kama ni mwanao ndo ameuliwa unge onge pumba hizo. Acha basi hatutaki UMBEA wako.

  ReplyDelete
 34. KAMA MUNGEKUWA MUNAMPENDA LULU MUNGEMUONYA KWENYE MWENENDO AMBAO HAUKUWA MZURI SHIDA VIJANA WENGI WA DOT COM MULIOKOSA MALEZI YA WAZAZI WENU MULIOLELEWA NA BEKI TATU WALA HAMSIKII LA KUAMBIWA WAZAZI WENU WANA MAWAZO MGANDO ILA MUNGU HANA UPENDELEO ANAMLIPA KILA MTU UJIRA SAHIHI HUWEZI KUPANDA BANGI UKAVUNA MAHARAGE JITAHIDINI KUWA WAVUMILIVU KUMBUKENI SIKIO HALIVUKI KICHWA

  ReplyDelete
 35. Kuna wakati binadamu tunakosea na si kwasababu tunataka kosea ila hutokea pasipo kusudia.Kuhusu lulu huyu ni mtoto na mi wala sitaki kumuhukumu coz no body anaweza akawa ryt kwa yote anayofanya.Na mi sijali sana kuhusu kujisikia kwake.Ila the great nae kuwa na mahusiano na haka kabinti hakuwa ryt tena kabisaaaa,simlaumu lulu coz wote hatujui kilichokuwa kinaendelea mle chumbani.Je kama alikuwa anampiga then ikatokea alikuwa anajitetea ili atoke kwenye kipigo kile,tusiseme kwasababu flani kafa.Mtasaliiiiiii,mtaombaaaaa but ile ni safari ya motoni tu.Watu wanacoment upuuzi na hawajiangalii mienendo yao wao,kuna akina kanumba kibao humu hawajui kuna siku na wao watakuja kuwa wakina lulu kwa namna tofauti,eti anaringa,anajisika,alikuwa kicheche!!je na wewe?unaishi sawasawa na mapenzi ya MUNGU?mbunge huyu kaonyesha hisia zake kwa huyu binti xo usimfundishe mtu kuonyesha hisia zake,na hujui ameshasaidia wangapi?wengine mmecoment ujingaujinga tu!nyie mmesaidia wangapi?eti kamuua staa wetu!!ooh maarufu!hivi hata kama ni maarufu ndio asingekufa?hii safari ya wote!Mazingira ya kifo yanaturuhu watu ambao tupo conscious kujua the great alijitengenezea njia ya alipo!Tuiachie mahakama ifanye kazi yake,na suala la kumsaidia lulu kama binadamu ambae anaeweza kukosea kama binadamu wengine lipo pale pale,yeye atasaidiwa na wengine wenye matatizo watasaidiwa.Kama huna we kaa kimyaaa,maneno yasikutoke coz huna!Nina imani lulu amejifunza na ana nafasi na haki kama wanajamii wengine wanaoweza kukosea na kupata nafasi ya kujirekebisha@Mr teacher at ryt zone corner!

  ReplyDelete
  Replies
  1. SAFI MKUU UMESEMA KWELI KWANI KANUMBA NAE ALIKUWA NA MAKOSA SANA TENA SANA. MIE HAWA WATU WALA SIWAJUI NA HATA HIZO MOVIES ZAO SPENDI KUZITAZAMA ILA KWA HILI LA LULU MWENYE NIA NJEMA NA BINADAMU MWENZIE AMUSAIDIE TU KWANI HATUNA UKWELI JUU YA KILICHOTOKEA HUMU CHUMBANI!!!!!!!! PILI MAHAKAMA NDIO ITAAMUA UKWELI NI KUWA WATU WAACHE USHABIKI WA KIPUUZI. KANUMBA ALIJITENGENEZEA KIFO MWENTWE PENGINE NI DHAHILI KUWA MUNGU NAE ALIONA AMUWAHISHE KWANI ANGEHARIBU WATT WA WATU HIVIO NI NANI ANAEFURAHIA MWANAE ACHEZEWE NA STAR?

   Delete
 36. marehemu ndo alikuwa na kosa coz alikuwa anatembea na mtoto mhalibifu mkubwa, aende motoni coz amemletea mtoto wa watu matatizo. hicho alichokifanya lulu kumsukuma inawezekana marehemu labda alitaka kumbaka, kwa hiyo dogo alikuwa anajinusuru. Therefore aliua kwa kutokusudia.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mpuuzi wee kama lulu anajitambua mtoto
   kafata nini kwa kanumba??? lulu mwenyewe hajatulia naye ni kishawishi kikubwa angalia tu hata uvaaji wake kama kukuosa binti mwenyewe kasababisha.

   Delete
 37. l dont get the logic behind..any way human being always make mistake and some body should learn through mistake..first...l thax halma mdee and ester bulaya for every thing they r trying to cooparete with lulu"s family this are da normal thing in da world...pipo can love u and pipo can hate u..so am not supprised much for those whome are talking full of sheet bout lulu..its not their foult....its their lower thinking capacity.any way what l bealive lulu does not hv any case more than just to help police to know the real thing what happened for kanumba to die....so lets be patient....GOD WILL TAKE HER UP TO THE END OF THE CASE AND WILL FINISH.

  ReplyDelete
 38. acheni kumsema marehemu kwani lulu alibakwa?siyeye mwenyewe alijipeleka kule

  huwo usiku wa tukio mpaka alipopata iyo mimba kuna mtu aliekwenda kumshika miguu si yeye mwenyewe nyege zake sasa achangiwe nini alivyokuwa anajishauwa asikii ya wakubwa mbona hao wabunge hawakuja kutuita kuomba msaada wa kumfunza adabu?leo yamemfika ndio wanaomba msaada wapumbavu nachopenda niwaambie asiefunzwa na wazazi atafuzwa na ulimwengu ela yangu bola nikatowe sadaka mskitini au kanisani kuliko kuitowa kwasababu ya uyo mtoto aliekubuu.ingekuwa kapitiwa na kanumba tu ningesema ni bahati mbaya lakini tulikuwa tunamuona kila siku kwenye magazeti na picha za nusu uchi nyinyi wote mliokuwa mnamtetea mlikuwa wapiiiii au nia yenu mnataka msikike na nyinyi?sasa muwacheni dunia imfunze adabu .acheni kutuongelea upuuzi wa uyo binti.mdogo wetuuuuu mdogowetuuu mnataka tuwanunulie pampers mumpelekee segelea mwacheni anyee debe shenzi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Naungana na msemaji aliye pita.
   nyiye watu mnaomtetea lulu nawashangaa acheni sheria ichukue mkondo wake kwa kifupi hakuna anaye paswa kumhukumu mtu but Mungu pekee yake hivyo tuachie
   mahakama.ushauri wangu kwa lulu amrudie Mungu wake, na abadili tabia.

   Delete
 39. Hi all how many Tanzanian feed properly. Millions are poor and have several needs like getting anti malaria dose.Why an MP trying to waste her time on a matter in a court of law. How many peoples in his constituency are in jail...or in remand ....have tried to assist them....or ?? ur trying to have popular votes....think

  ReplyDelete
 40. kwa mimi cmuhukumu lulu bali ni huyo mbunge halima mdee inamaana hajaona familia za kusaidia hadi ataje familia ya lulu?!! ni wangapi wapo mahospitalini wanahitaji hata chakula hawapati, mavazi hawana, nauli za kurudi kwao hawana leo unasema eti familia ya lulu ilikuwa inamtegemea yeye, je wewe hujawaona hao walemavu wanaozunguka juani mchana kutwa uwaombee msaada hadi iwe lulu? ama kweli umaarufu dili, ole kwa wale wasiokuwa maarufu wataozea jela, njaa, mavazi hawapati kwani hakuna anayewaona wala kuwajali awe rais, mbunge hata mawaziri MUNGU amwongezee MHESHIMIWA MENGI miaka mingi kwani huwa yuko bega kwa bega na maskini kuwasaidia na cyo kusaidia wa2 maarufu huo umaarufu ni kwa ajili yake na familia yake hilo hali2husu, we mbunge omba 2wasaidie wanaoangaika mchana kutwa kutafuta riziki hawapati na hawana pa kulala na cyo familia ya m2 fulani kwa vile anak2 fulani kwa hilo samahaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, msaidie wewe na jimbo lako.

  ReplyDelete
 41. Kiukweli lulu asamehewe tu kwani hakuna ajuae ukweli kati yetu bali ukweli alikuwa nao kanumba tu kwa hiyo mahakama imusamehe bure!!!!!! Na mwenye moyo wa kumsaidia amsaidie kama alivyosema mbunge wetu kijana Mdee, najua wengi wetu mtanishangaa ila ukweli ni utabaki kuwa ukweli kuwa mimi huyo lulu mwenyewe na hata kanumba sina undugu nao ila kimtazamo tu kwani kanumba nae ana makosa yake amabayo mahakama au wewe msomaji huwezi kuyajua kwani amekufa na hatarudi tena!!! Usishangae angefufuka leo kanumba angemsamehe lulu kwa hiyo mtazamo mimi lulu asamehewe na kusaidiwa pia kisaikolojia sku zote usifrahie matatzo ya mtu one day u'l be in tough problem than LULU.

  ReplyDelete
 42. I THINK SHE ENGAGED HER SELF INTO GROWNUP THINGS, SO SHE SHOULD BE READY ALSO TO TACKLE AND FACE FOR THE GROWNUPS.

  ReplyDelete
 43. Mheshimiwa Mbunge wewe unasema Lulu ana miaka 17, je una ushahidi? na unasema Lulu anategemewa na wazazi wake ist true, tuache mahakama, na vyombo vingine vya sheria vifanye kazi yake, kama swala kutoa msaada kuna watu wengi sana wahahitaji msaada, ambao ukiangali kwa makii utajua ni kweli wanahitaji msaada, Lulu ana wazazi wote wawili wako hai na wana nguvu.Hebu Mhe. tafakari jambo hili kwa upana zaidi.

  ReplyDelete
 44. lulu ana satahili msaada wa kisaikolojia na siwa pesa kwani kama mnasema ye ni mtoto inakuwaje kutegemewa na familia?? ninavyojua mimi mtoto ndo anasaidiwa na wazazi wake. ndiyo kuna baadhi ya familia yenye hali mbaya kiuchumi inawezakana, lakini si familia ya lulu bado wana nguvu wanauwezo wakufanya kazi.
  hizo pesa wapewe watu wengine wenyeshida zaidi huko gerezani.

  ReplyDelete
 45. lakini kama lulu ni under 18 kwa awe source of income ya familia, ina maana lulu kuwa ndani familia itakufa njaa.naomba mbunge ufikirie kabla ya kuongea

  ReplyDelete
 46. ushost wenu na lulu kafanyieni huko aliko! usitake tukudhanie vibaya..ka una huruma kwa mashost wako bac kalale na lulu huko aliko.
  KAMA UNAWEZA KUSHAURI BAC WASHAURI WA2 WATOE MSAADA MAHALA PANAPOSTAHILI.

  ReplyDelete