- WATUMISHI WOTE SASA KUHAKIKIWA VYETI VYAO
 - ASKARI WALIOVITUMIA KUPANDA VYEO KUKIONA
 
 Na Heri Shaaban
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa, limetoa mwezi mmoja kwa watumishi wake wote  kuwasilisha vyeti vyao ili viweze kufanyiwa
uhakiki ili kubaini kama kuna vyeti feki.
