Na
Rehema Mohamed
MAHA KAMAK
uu KandayaDares Salaam imeshindw a kuanzakusik iliza Rufaaya Mkurug enziwaM
ashta kanchini( DPP) dhidi yaal iyekuwaBaloz iwaTanzani anchini Italia,Pro
fesaCost aM ahaluna mwenz akekuto kanan akutope wakumbuku mbuzakes i
yauhujumuuchumiiliyo ku waiki wakabili katikaMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu .
Katikakesihiyo Mahalualishtakiwa pamo ja
naaliyekuwa MkuuwaFedhana Utawala katika ubaloz i hu o, Gra ceMartin.JanaRuf aah iyoil ile twamahaka maniha pombe
leyaJaji JohnUtamwakwaaji li yakua nza kusik ilizwa a mba poupan dewaMashta
kaulikuwau kiwak ilishwanawakiliwa serikali, TimonVitalis na walikuw ataya ri
kwausiki lizwaji.
Hatahiv yo,Jaji Uta mwaaliieleza mahakama kuwa,ha
watawezakusikilizakesi hi yokutokana nakutopewa rekodi hizo za ma hakama.Katika hatuanyingine W akili wa Utetezi,Beatu s
Malimaalielezakuwam aw akiliw anaomteteamrufan iwakwanz a(Prof.Mahalu) ambaon i
AlexMgongolwanaMabere Marand o wanaudhu ru, hivyowameshindwa kufika mahaka mani
hapo.
Kutok ananahal ihiyo,Jaji Utamwaalia hiri shas
hauri hilohadi No vemba11mwaka huu kwa ajiliyausikiliz wa ji.Baa dhiy ahoja zaDP Pkatika rufaahiyo ni pamoja nak
wambahakimu waMa hakamaya HakimuMkaziKis utualikose akisheria kusemak uwa,
mjiburufani kusa ini mikatab amiwili hali kuwakosalajinai.
Hoja nyingine ni kwamba, hakimu huyo alikosea
kisheria kukubali na kutumia ushahidi usiokubalika na kuwaachiwa huru wajibu
waliokuwa washtakiwa wa kesi hiyo.Nyingine ni kwamba alikosea kisheria kuamua kuwa,
upande wa mashtaka haukuweza kuthibitisha mashtaka yao bila kuacha mashaka
yoyote.
Kutokana na hoja hizo, DPP anaiomba mahakama hiyo
itengue hukumu hiyo iliyowaachia huru Mahalu na mwenzake kisha iwatie hatiani
na kuwahukumu adhabu kwa mujibu wa sheria na kutoa amri nyingine yoyote
itakayoona kuwa inafaa.
Prof. Mahalu na mwenzake walikuwa wakikabiliwa na mashtaka sita yakiwamo
ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Euro 2,065,827.60, katika
mchakato wa ununuzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Italia.
No comments:
Post a Comment