Na Heckton Chuwa, Rombo
WITOumetolewa kwa wawekez ajiwazalendohapa n chinih ususankweny
esektayaviw andakushirikiananakuj e n gaumojautakaolengakuta
ngazabidhaawanazozalisha hapanchini ili zipate soko nda ni nan jeyanchi.Witohuo u me
tolewa na mkuruge nziwakiw andac hakuzalishaviny waji vyamatund ana maji kil
ichoko WilayayaRombo, mkoaniKilimanjaro, Bw .ShanelNgowi, wakati aki
zungumzanawaandishi wa habariwaliotembe lea kiwa ndah icho kipya, mwishoni
mwawik i.
"Wa
wekezaji hapanch inini vyematukatumianguvu zetukat ikakujengaumoja
ambaoutatuwez esha kutanga za nakuuza bidhaazetukwawingikutokan anabidhaa zinaz
ozalish wa hapan chin i kuwabo ra ku likozil ezanje, "alisema.
Bw.Ngo wia lise
maw awekezaji wahapanc hin iwananafa sikubwayakuu ngan anak ujijen gaku endele
za kazinzuri walizo zianzishakwakuzi fanyabidhaawanazoza lisha kupata masoko
ndani na nje ya nchi.
Alisemakuwabadowazalishaji
wazalendo hawa jawe za kumudumaso koya bidha amba limbali hapanch inij amboam
baloalisemalinachangia wafanyabiashara kutok anjeya nchikui ngi zabidhaahapan
chi nipamo janakw amba wazalishajiwa zalendo hapa nchini wanazizalis hapia.
"T ukisematuan ze kupiga
navitawenyewe kwawenyewena mas hindan oyasiyo kuwa natija, hililitatoam
wanyakwawaf anyabiashara kut okanj eyanch ikuuzabidhaazaohap an ch iniw akati
uborawabidh aa h izosiyo mzuri ikiling anis hwanaz akwe tu,"a
lisemanakwamb auborawabid ha a za Ki tanzaniau methib itish wanaTBSpamojan aTFD
A.
Aidha al itoawit o kwa mamlaka ya mapat on
chinikuangalia uwezekanow akupung uza kiwangocha ushuru wa bidhaa, (excise
duty), wanachotozwa wazalishaji wa maji hapa nchini ambacho amesema ni kikubwa.
"Asilimia 83 tunazotozwa kwa kila
lita moja ya maji tunayozalisha ni kubwa mno hasa ikitiliwa maanani maji
tunayozalisha yamechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza magonjwa ya milipuko kama
vile kipindupindu katika maeneo mengi hapa nchini," alisema.
Kuhusu kiwanda hicho kipya, alisema kimechangia kutoa
ajira za kudumu 100 na ambazo si za kudumu zaidi ya 400 na kwamba malengo ni
kuongeza ajira za kudumu kufikia 1,000 na 4,000 ambazo si za kudumu
No comments:
Post a Comment