MKAZIw a IringanaMhasib uwa Taasisi ya kut eteahak i
zawanawakenawat oto(TA RWOC), Bw.Sil van usJ umaa me ibukamshi ndiwadro okubw
ayamwezi ya p romosheniya Ai rtel yatoshakwakujishindia mojayanyumba tatuzinazo
shind aniwail iyo poKiga mboniyenyethaman iyash. milioni65, anaripoti
Gladness Theone st.
Ak izung umzakwanjia
yasimujanamarabaada ya k ucheze shwa kwadroohiy ojanaDar esSalaamna k uibu kam
shin di,Bw .Juma alisemaku wakil asikualikuwa akijiung akat ikak ifuru shi
chayatoshaak iam inik wamba ikosikuatashind anakwa kupitiaush indi huoameamini
kuwa Airtel haina ubag uzi.
“Nimefurahi sanakwa ushindi
huu,nawaombawana nchiw enginewasikateta maa waende leekununuavifurush
ivyaAirtelyat osha,hii inaonesh akuwa Ai rtel haina ubaguzi,”al isemaB w.Juma.
Akizungumza wak ati wa kuchezesha
droohiyoMenejaUhusianowa Airtel, Bw. Ja cksonMmband o alitoawitokwa Watanzan
ianawa tejawaAirtelkuendeleaku tum ia‘Airt el Ya tosha’ nakujiunga navifurushi
mbalimbali ili wawezeku jishindia.
“NawakumbushaWatanzania kuwa nyumba zimeba ki mbili
hivyowajitahidi kuji ungakwakunun uavifurushivyaAirte l Ya toshaili waonge
zenafasizakus hinda,” alisemaBw .Mmb an do.
Aidha kwa
upande mwingine washindi wengine saba kutoka katika mikoa mbalimbali waliweza
kujinyakulia kitita cha sh.milioni moja, washindi hao ni pamoja na Peter
Ignasho (Muheza Tanga), Bi.Edita Rweyabura (Bukoba), Bi.Vero Mispela (Biharamulo)
pamoja na Bw.Siasa Songo (Singida) wengine ni pamoja na Bw. Steven Maguro,
Bw.Rakesh Ali Mauji na Bi. Mwajuma Hassani wote kutoka Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment