12 August 2013

WATALII

Watalii kutoka nchi mbalimbali wakiangalia sanamu ya askari iliyopo katika mzunguko wa magari, eneo la Posta, Dar es Salaam jana. Sanamu hiyo huwavutia watalii wanapopita kuelekea katika maeneo mbalimbali ya jiji.

No comments:

Post a Comment