Na Mwandishi Wetu,
Shinyanga
IDARA yaU hamiajimkoani Shinya ng
ainawas hikiliawaha mi ajiharamu18kuto ka nchizaRw anda, B uru ndinaKenya wanao
dai wakukimbilia katikamikoayaSh inyanga naGe itakuto kamiko ayaKa geranaKig
omaku fuatiaa gizo laRais JakayaK ikwet ek uwataka wa rejeemakwa ondaniy
akipindic hawiki mbili.
Ofisa Uhamiaji
wa mkoa wa Shinyanga, Anna mariaYond ani akizungumza nawaan dishiwahaba rim
jiniSh inyangamapema wikihi ialisem awahamia ji haramu16walikamatwa
wilayaniKahamana wawili wamekamatiw a mjini Shinyangaamb apon ane
katiyaowalikutwa nahat iayakuin gia nchini ki nyu mechasheria natayari
taratibuzakuw are jeshama kwaozinafanyika.
Yondanialisema
wahamiaji wengine 10 bado wanaendelea kuhoji waka bla yakuwa chukulia hatuazai
dizakis heriaambapohatahivyoju hu di zakumpataofisa uhamia jiwamkoa wa Geita,
Char les Washimaku zungu mzia idadiyaw aliokamat wakatikamkoahuohazikufa
nikiwakutokanana simu yake yakiganj ani kutoku wahewanihiyojan a.
Kuka mat wakwa
wahamiaji haoha ramukum efany ikamudamfu pibaada yamudaulio kuwa umetolewa
naRaisK ikwete kumalizikarasm i juz iambapobaadhiyaoi mebain ikawa mekuw
awakiki mbia kutokakati kamikoaya Ka geranaKig om anak ung iamikoa yaShin yan
ganaGe ita kwaku tumianjia za panya kwa lengo la kukwepa kukamatwa.
Imed aiwak
uwabaadayaku igia katikamiko ahiyo waha mia jihaohuishi kwauficho kat ikamiji
yaRunzewe, U shirombo,Ma sumbwe wil ayaniBuk ombemkoaw aGeita naweng inekuki
mbili ak atikavijiji vilivyopo ndani ya wilaya ya Kahamam ko awaShi nyan ga.
Baadh iyaw ak aziwamaeneo ha yowalioz
ungumza kwanjia yasim u kwasharti yakutot ajwamajinaya owa lisemam
arabaadayakutolew akw aagizo la Rais Kikwe te kuwatak awahamia ji haramuwote
kurejeam akwaokumekuw eponawimbi ku bwala wage ni wa siofahamikakuto kam
ikoayaKageranaKigoma kuingia katika maeneo ya o.
Hatahi vyowanan chih aowalielez eakusik
itishwakwa ona tabiaya baadhiya viongoziwa ngazi yav itongoji nav ijiji kutoku
wamakinikatik akuwafuatilia wahamia ji haoa mbao inadaiwawame kuwawak iingi
anyakati zausikumaku ndikwam akundina kujificha kwa baadhi ya jamaa zao.
Wana nchih aowam eiombaSerikaliichuku
ehat ua zaharaka ili kuepush awahamiajihaowasi wechanzoc ha kuvurug a am aniya
nchi kwa lengo la wao kutaka kupata unafuu wa kuishi bila ya kubughudhiwa
wakati nchi ikishughulika kurejesha amani ambayo itakuwa imetoweka.
Mkazi mwingine mjini Kahama alisema
baadhi ya wahamiaji hao wamekuwa wakiingia katika maeneo yao kwa mwavuli wa
wafanyabiashara ndogo ndogo huku wengine wakijishughulisha na usafirishaji wa
abiria kwa kutumia baiskeli maarufu kwa jina la 'daladala.'
"Mtu
anapokuja kwa kisingizio cha mfanyabiashara siyo rahisi kumgundua kuwa ni
mhamiaji haramu na wengine wanajenga mahusiano ya haraka na wenyeji na hivyo
kuhisiwa kuwa ni ndugu wa karibu, sasa hii ni hatari, na zipo taarifa wengine
wameishajipenyeza hadi ndani ya vijiji vya mkoa wa Tabora," alieleza
mwananchi huyo.
No comments:
Post a Comment