23 July 2012

KOMBE LA KAGAME

Mshambuliaji wa btimu ya Azam, John Boko akiwa amebaki na kipa wa Tusker ya Kenya, Boniphace Oluoch lakini akakosa bao baada ya kuwatoka mabeki wakati wa mechi ya michuano ya Kombe la Kagame iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi. Timu hizo zilitoka suluhu. Picha na Michael Machellah


No comments:

Post a Comment