Na Grace Ndossa
SERIKALI ya Tanzania, imesaini mkataba
na Serikali ya Uingereza ya makubaliano ya mradi wa kuhamasisha vijana na
watoto kushiriki michezo ili waweze kufikia hatua ya kimataifa, lengo likiwa ni
kuboresha maisha yao.Makubaliano
hayo yalifanyika Dar es Salaam jana, kati ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga na Balozi wa Uingereza
nchini, Diana Melrose.
Akizungumza
mara baada ya kusaini mkataba huo Katibu Nkinga, alisema kuwa Serikali ya
Uingereza na mashirika yake, imekubali kushirikiana na wadau wa Tanzania katika
kutoa mafunzo ya tunu za Olimpiki kwa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na
Kamati ya Paralimpiki Tanzania (TPC) kwa vijana na watoto wanaoishi katika
mazingira magumu.
"Hiki ni kiashirio kuwa Serikali
ya Uingereza na Tanzania, zitaendelea kushirikiana katika kuonesha maendeleo
endelevu ya mradi wa International Inspiration kama ilivyoahidiwa na Kamati ya
Olimpiki ya Uingereza," alisema.
Alisema Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni
na Michezo na Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wanashirikiana katika kutekeleza
mradi huo, ili kubadili maisha ya vijana na watoto walioko shuleni.
Mkinga alisema lengo la mradi huoni k
uwafik iavijana naWato tomili onimbili,wa liokoshu lenina nje ya shule
kupitiang uvu bora naj umuishiy a miche zonak utoaelimuyamichez okwaujuml a.
Pia al isemau t ekel ezajiwa mradihu
o,unac hangiakwakiasi kikubw aka tikakufikia mal engoyaMileniumkwakui
buavipajimb alimbali vy a vij anana w atoto.
Nay eBaloz i waUi nger eza, Dianaal isemamkata
bahuokwaajiliyak usaidiavijananawatotowali oko shuleni pamoja na kuibua vipaji
vyaokatika kuwapatia elimuy a mic hezo
No comments:
Post a Comment