01 August 2013

MKUTANO

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akijibu maswali ya Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli ambaye ni Mbunge wa Chato (wa pili kushoto) aliyeambatana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (wa pili kulia), Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chizza (kushoto) walipofanya ziara jimboni humo hivi karibuni

No comments:

Post a Comment