- NI WA SERIKALI WANAOKWENDA NJE YA NCHI
- NI KUTOKANA NA TANZANIA KUGEUKA UCHOCHORO
- SERIKALI YAGOMA KUTAJA MAJINA YA WAHUSIKA
Na
Waandishi Wetu
SIKU chache baada ya Tanzania hasa
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kugeuka uchochoro wa kupitisha
dawa za kulevya kutoka na kuingia nchini, hali hiyo imesababisha viongozi na
watu mashuhuri nchini kufanyiwa upekuzi mkali wanapofika kwenye viwanja
mbalimbali vya ndege nje ya nchi
.Mb
a l i n a u p e k u z i h u o , imebainishwa kuwa sifa ya Tanzania katika
sura ya kimataifa imechafuka kutokana na kugeuzwa njia ya kuingia au kupitisha
dawa za kulevya.
Kauli
hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam,
Said Mecky Sadiki, wakati akifungua mkutano wa waandishi wa habari uliojumuisha
wadau mbalimbali.
“Kwa
sasa viongozi wa Tanzania
na watu mashuhuri wanapofika kwenye viwanja vya ndege nje ya nchi upekuzi wao
unakuwa mkali kutokana na kuwatilia shaka kwamba wanaweza kuwa wanafanya
biashara ya dawa za kulevya,” alisema Sadiki na kuongeza;
“Nakiri
kuwa biashara hii imekuwa kero na imeharibu uhusiano wa kimataifa; na hivi sasa
hata kupata viza imekuwa shida tofauti na huko nyuma; hivyo vita hii isiwe ya
Serikali peke yake, bali iwe ya wadau wote.
Aliongeza
kuwa, miaka ya nyuma hati za kusafiria za Tanzania zilikuwa hazitiliwi
mashaka nje ya nchi, lakini hivi sasa uaminifu ni mdogo.
Alibainisha
kuwa hadhi hiyo pia wanaipata wasafiri Watanzania wanapoenda nje ya nchi kwa shughuli
mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara.
RC
Sadiki, alisema wanaotajwa na vyombo vya habari kuhusika na biashara hiyo ni
watu wadogo wanaotumwa kufanya biashara hiyo, lakini mtandao huo una watu
wazito.
Wakat i huo huo, Waziri
Kivuli wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Vincent Nyerere, amesema kutokana na wimbi la
uingizwaji wa dawa za kulevya nchini, hivi sasa Watanzania wengi wanaosafiri
nje ya nchi, wamekuwa wakifanyiwa upekuzi mkubwa.
Alisema hali
hiyoinato ka na nanchi mbalimbali kutok uwanaimani nao wakiami nikakube badawa
hizoiliw awezekuz iuzaka tikanchi husikanau shahidihu oana o.
Nyer ere aliyasem ah
ayoDar es Sa laamja naw ak ati akizun gumzanagaze tihil inakuongezakuwa,
ukiwanahati yak usa
firiaya Tanzan ia, utakuwa wamwis hokuingiaaukutoka katika nchi mbalimb ali.
“Mkiwa Watan zania10,
mtatakiwak usubiriili mu wezeku fanyiwauk aguzimaalumunakutoka k wapamoj
a...hali hii inatokanan aSerikali kushind wa kukomesh ab iasharaharamuyadawa
zak ule vyanchin i.
“Nchi zawen
zetuzinaamini Watanzaniahasaku tok aDar es Salaam, wa naing ianad
awazakulevyakatika nchi zao,hivyoni wazi sualahililinac hafua Taifa...lazimawa
husikawo tewashughuliki weipasav yosi kuwafumbiam acho,” a lisem a.
Alipongez avyombovyahabari
kwakutoataarif
ambalim bali zinaz ohusia na nab iasharahiyoku s hikak asi nchini ,hivyoniwajib
uwaSerikalik uweka wazi bilakifich omajin aya watuwana ofanyabi asharah
iyowakiwemoviongozi wadini na kuwafikisha mahakamani.
“Ha tunamudatena wa kulindana
katikajamb o hili ambalolinaharibusifay an chiy etu.. .Seri kal i itenge fung
ul afedh akwaajiliyakufanyamisakoyandaniili watu haowaweze kuk amatwa
...hatunam uda wa kusubiri.
Wakatihuoh uo,Serikali
im esisitiza kuw ahai tawatajakwa maj inawabunge auwatuwenginewa kiwemovio
ngozi wa naotu humiwaku jihusisha nadawaza kulev yahadi hapoitakapojiridhis
hakw aushahidi.
Msimamohu ou lisisitizwa Bungen i, m
jini D odom ajananaWaziriwaNchi,Ofisiya Waz iri Mkuu(S era, Ura tibunaBunge),
Willia mLukuvi,wak ati akitoleaufafanuz imw ongozoul ioombwanaMbungew aSimanjir
o,Christoph er Ole Sendeka .
AlisemaSerikali haiwezi kukurup uk akutaja
majinayawabungeauvi ongoziw anaojihu sha nadawa za kulev yabilakuwana uh akikanawatuwa
naot uhumi wanasakatahilo.
L ukuvi alisema kuna baadhi ya vyomb ov
yaha bari
vimechapis hamajinay awa tuwanaojihusishana dawa hiz o, lakini Serikal i haiw
ezi kufuatamajinahayo,bilayakuwanaushahidi na mtu ambaye anahu sik a.
“ Serik alihaiwezi ku tajamajina
yawatuwa naodaiwakuji husishanadawaza kul evyabil akuwanaush ahidi kwanikazi
yaS erikali ni kukamat ana kuwaf ikishakatikavyombov yasheria,lakini si kazi
yakeya kuwatajakwa majinaw atu amba ow anajihus ishan a dawa hizobila
kujiridhisha na ushahidi kwa wahusika,”alisema Lukuvi.
Alisema swali aliloulizwa juzi
lilimtaka yeye kuwataja kwa majina watu ambao wanajihusisha na dawa za kulevya
kama ambavyo yalivyoandikwa ambapo alijibu kuwa Serikali haiwezi kutaja majina
ya watu hao hata kama watakuwa viongozi.
Mb u n g e wa S ima n j i r o
Christopher Ole Sendeka, aliomba mwongozo kwa Naibu Spika kupitia kanuni ya 68
(7) kutoka kwa Naibu Spika kuhusu kauli ya Lukuvi, kuwa akitaja majina hakuna
mbunge ambaye atasalimika.
Lukuvi alilazimika kutolea ufafanuzi
sakata la vigogo kuhusishwa na dawa za kulevya baada ya wabunge kutaka watajwe
ili wajulikane kama ambavyo baadhi ya vyombo
vya habari vilivyoorodhesha majina.
Imeandikwa na David John, Frank
Moyo, Goodluck Hongo, Hytham Mushi, Anneth Kagenda
No comments:
Post a Comment