Na Rachel Balama
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, a mesemaSe
rikali itaendelea kufanya kazi kwa karibu na Taasisi yaSektaBinafsi Tanzan ia(
TPSF)kam anjia yakuima rishase kta binafsinchinina kuifan yaku wainji ni yaukua
jiwauchuminaus tawiwa j amii.
Kauli hiy
oilitol ewana Waziri Mkuu, Pinda katika mkutano mku uw a14wa taa sisihiyou
liofan yika mwishoni mw awik ijijini Dares Sa laa mn akusi sitiza kuwaniay a
serikaliniku onak uwataasisi hiyo inas hikah ata muka tikauc humi wanch i.
Alisemak wamuda
wamia kamita tusasaj itih adaza makusudi zaserik alina wad auwas ektabi nafsi
zimeelekezwa katika ku jengasau tim ojaya sekt abina fsiTanzania.
“Ni mat umai
niyangukwamba, t aasisi yenu itate kelezamajukumuyakeya msing i ya
kuteteamaslahi yas ektabinafsi nakuta futaufumbu ziw ach an gamotozinazo ika
bili sektab inafsi nc hinikwa ufanisiwa ha liyajuu,” al isemanakuongeza kuwa;
“Ninafari jikak
wambatayari matundayaji tiha dahizi ya meanzakuonekanakwa kuweka mfumo madhu bu
tiwauo ngozikwenye taasisiyenu tofaut i nailivyo kuw aawali. ”
Alis emakuwadha
mirayase rikalini kuona lengo hilo
lina fani kiw ailikuwa namajadilia nonamash aur ianoyenye tijakatiyase rik ali
nasek ta binafsika m a w abiawamae ndeleokwamaslahiy anch i.
Al ibainisha ku
wamkutano huu mkuu ni ushahidi wa mafanikio yajitihadahiziz akujengaSektaBina
fsim adhu butinch ini.
A lisema kwa k
utambua umuh imuwa sektabina fsiserikali iliamuak ufanyamabadi likoy amwele
keowaseraza ke zakiuchum ikatika m iaka ya1990 ili kutokakwe nye uchu mihodhi
kwendauch umiun aotawaliwan anguv u zasok o.
Alise makati kakuimarisha s
ektabina fsikama injini ya ukuajiwauc humiwanc hi serikaliinatekeleza ser anami
kakati mbalim ba likwa l eng olakukuza ushindaniwak at ikasektahiyo.
Akitoa mfano ya
mikakati hiyo, alisema kuwa serikali inaendele a najithad azakuimaris hamiun
dombinuyakiuchu mi ikiwemobara bara,re li, bandari,viw anjavya ndeg e p
amojanami fumoya uzalish ajinaus afir ishaji nausambazaji wa umeme namaji ilik
uvutiabia sha ranauwekeza ji.
Akitoa mfano wa
changamoto ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, alisema kuwa ni fursa
ambayo inaweza kutumiwa na sekta binafsi kwa kusanifu na kujenga miundombiunu
hivyo kushiriki katika uwekezaji kwa manufaa ya ukuaji wa uchumi wa nchi.
Kwa upande
wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary
Nagu, alielezea jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali kwa lengo la
kuimarisha sekta binafsi nchini ikiwemo kushirikiana na sekta hiyo kuandaa sera
ya maendeleo ya sekta binafsi nchini.
Alisema kuwa kwa sasa hatua zilizochukuliwa ni
pamoja na kuwashirikisha wadau ili kupata maoni yao kuhusukupata sera nzuri itakayoongoza
sekta hiyo
No comments:
Post a Comment