06 August 2013

NSSF


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bi. Chiku Matesa (wa pili kushoto), akimpokea Meneja Mafao wa Mfuko wa Taifa wa Wafanyakazi kutoka Swaziland, Bw. Miccah Nkabinda (wa pili kulia) na Zithulele Gina (kushoto), waliokuja nchini kujifunza jinsi NSSF ilivyofanikiwa kuboresha mafao ya wanachama. Kulia ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa shirika hilo, Bw. Juma Kintu.

No comments:

Post a Comment