30 August 2013

MAMILIONI YAPORWA DAR  •  MAJAMBAZI WAITEKA BENKI,WENGINE WATEKA MAGARI,WAUA DEREVA
 Na Waandishi Wetu

MAJAMB AZIweny e sila ha,janawalivamiaOfisizaBenkiyaHabibLTD, iliyok oKar ia koo , MtaawaLivingtone-Uhuru,DaresS alaamnakupo ra d olazaMare kan i181,8 85pa mojanama mi lioniyaf edhaza Tanzaniaambazo thamani yake haijafaham ika.


Tukio hilolilitoke asaatatuasubuhijana, ambapom ajam bazi haowalif anikiwa kuwaweka chiniya u linziwalinziwawili wabenki hiyo,wate ja,wafanyakazi na kuwaa muruwat oe fedha.Akizung um zana waan dishi wa habari DaresSala amjana,KamandawaPolisiKandaMa alumuya DaresSal aam, K amish naSulema inKov a, alisemamaja mbazi saba waliingia katika b enkihiyo.

Aliongez akuwa,uchunguziwaliofanyaum ebaini majambazi hao ba ada yakufikakatika be nki hiyo,wakaj ifanya watejawakawai dawakis indikizwa na askari polisiali yevaasare."Wali ingian dani yab enki kimya kimya,kuto asilaha, kuwawekachiniya ulinzi wafan yakaziwabenki nawatejawannewalioku wa wameendakupatahu duma... walikuwa wa kizungum zaKiswahilikwa shida, muda mwingi walitumia Kiingereza.

"Walikuwa na asili ya kiasia na wotewali kuwanas ilahand ogo, wali anzakuch uk afedh akwamtunza fe dha,kuvunjamila ngomiwilinakwe nda chu mbacha kuhifad hi f edha,w ali mwamuruMenejawaBenk inawasaidizi wakekuf ungua chu mbahichonakuchu kuafedhaz otezilizo kuwep o," alisemaKami shnaKova.

Alion gezakuw a, majambazi hayo yalikuwayak itumia gari ainay a Toyota N oahnambaT 817BPZrangiy a Silverambap oupouwez ekano mkubwa kuwak una wafa nyakaziwa litoas iri kubw a, hayamajamb aziyalii tamajinayabaadhiy awafanyakazi wa benki, watunz afu nguo.

"Polisi tuta toad ongenono sh. milioni 100kw amtu ambayeatafanikis hakukamatwa kwa majambazihay o”.Alisemawakati majambazi hao wakiwa ndani,wafanyakaziwalimshaur i Menej awabenkihiyokubonyezaalamui li k uwas htua walinziw akam punib inafsi inayolind ala kinialikaid ibadalayakealiwahimiz awa fanyakaziwaka bidhi funguok wamajambazi hao.

Kamishna Kova alisema, walinzi wabenk ihiyohawaku wanasilahayoy otew ala runguna ha kuna ml angounaofun guliwakw anambazasiri, jamboambal olin aibua maswali mengi.Aliongez a k u w a , kilichow asha ng azanimu damchachebaadayatuki o, w atuwa bima amb aowanahus ikanaulipaji fidiaw iziuna potokeawal ifik a eneohiloambapo hal ihiyoin aonesha kulik uwa naa inaf ulani yampangouliokuwa umefa nyika.

Katikatukiolingine, Kamishna Kov aalise ma, jeshihil olinawas hikiliawatuwawili r aia wa KenyaMark Rubila( 21) naSila Rubila (16)k wa kos alakum uuaderev a teks i, R amadhanAhemed (38),mkaziwaBuguruni.A lisem atuk iohil ol ilitokeajuzisaatatuus ikuen eol aGymkh ana, ambapo askari wakiwad oria, walionagari dogo aina y ateksiikiwaimeegeshw a bar abarani na kuwas ha indiketambiliza nyumbanambilizambele (harzad) hivyo wa lilisog ele a.

"Pembe niyagarikulikuwa namti mkubwa,po lis i wa liwaonavij anawawili wakimtup amtukwenye kichaka, askariw alif anikiwakuw akamataw atuh umiwabaadayakugundu amtuwaliye kuwa wamembeba tayari ameshaf ariki.KamandaKovaalisemabaada yaaskarik upekuagar ihilo, wa ligundu akuna da mun yingizilizo tapakaak wenyekit i cha mbeleupande w akushoto nabaadaya kuwah oj ivija nahao, walikiri kuhusikanat ukiohil o.

Al isemaw atuhao w aliko di gari hilolenye nam baT106CGMToyotaCor olla,saa2:30usikumaeneo yaKivu kon i, wa lipitia Po stayazamani na kuingia barabara yaMo ro goro."Wali mtakamareh emu(derevateksi),awap elekeAga Khan, wakiwa njiani wa limchomakisukifuaniu pandewakushoto, ku vuja damun yinginahatimaye kufariki dunia ,"alisem a.

Aliongezaku wa,watuh umiwa walipoulizw awal isemalengolao lilikuwak uon dokana gari iliwakaliuz enakupa tapesaambap obaadaya u chunguzi, polisiw alifani kiwakukamatawa tuhumiwawenginemaeneo yaKimara B onyokwa ambaowanahus ian anawa tuhum iwahao wakiwanag ari yawizinamb a T230 ABV, Toyot aCo rol la.

Watuhumiwah aoniRamadhan Rashid( 32)naHamisRashid (36) ambapo mag ari hayo ya mekamatwanawatuhumiwa wanaendelea kuh ojiwa.

Imeandikwa na Revina John, Frank Monyo na Theophan Ng'itu.

1 comment: