06 August 2013

MSHINDI


Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw, Jackson Mmbando akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya kumsaka mshindi wa nyumba ya kwanza kupitia promosheni ya Airtel Yatosha. Kushoto ni Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Bw, Mrisho Milao na kuliani Meneja Masoko wa Airtel, Bi. Aneth Muga. Droo ya Airtel Yatosha ilimpata mshindi wa nyumba, Bw. Silvanus Juma kutoka Mkoa wa
Iringa.

No comments:

Post a Comment