15 August 2013

MSAADA NMB

Mbunge wa Jimbo la Nanyumbu, mkoani Mtwara, Bw. Dusntan Mkapa (kulia), akimshukuru Meneja wa Kanda ya Kusini wa NMB, Bi. Lilian Mwinula, mara baada ya kukabidhi msaada wa vitanda na magodoro kwa Hospitali ya Wilaya ya Nanyumbu jana. Msaada huo una thamani ya sh. milioni 5.

No comments:

Post a Comment