Wakazi wa Mtaa wa Lugoda, Gerezani
wakimshambulia mfanyakazi wa Kampuni ya Tambaza inayojishughulisha na kudhibiti
uegeshaji wa magari bila kuzingatia utaratibu uliowekwa na mamlaka husika baada
ya kufunga magari yaliyokuwa yamepaki pembezoni mwa mtaa huo Dar es Salaam
jana.
No comments:
Post a Comment